fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,472
Mkuu hawa wanaharakati wa JF hawamfaham huyu agent but laiti wangemjua ......naomba niishie hapa tuKwa kweli mi namshangaaga sanaaa,tena hili la kupigwa na kukimbilia chooni ilikua 2005 kwa mtoro.Anauzigi huyo mzeee acha tu.Eti leo kujikuta ye ndo msemaji wa waislamu na watu tunamskiliza ni maajabu
Sheikh Khalifa kaongea kwa data, kama unampinga njoo na data, Otherwise kaa kimya, No research no right to speak!.
Ujumbe utakuwa umeshafika huko ulikokusudiwa kufika
Taasisis inajulukana na kiongozi wake anajulikana. magufuli anachoangalia ni utendaji baaasi!Habari zenu wana jf!!
Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.
je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?
Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?
Uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani
Mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!
Kwani alichosema ni uongoHakuna kitu nachukia duniani kama mtu kuleta stori za udini na ukabila
Wanafiki utawajua tu wakiwa pamoja nayi hujifanya mko pamoja akiwa na makafiri anajifanya yuko pamoja acha unafiki kaka na kujiita ustaadh jumaHabari zenu wana jf!!
Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.
je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?
Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?
Uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani
Mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!
Ata ili lafaa kujadiliwa pia kama mambo ambayo hayana maana yoyote yanaletwa humu na watu wanachangia sembuse hill mtoa mada upo sawa kabisa bigup kwa hiliNarudia tena kuwaambia ndugu zangu tujikite kujadili hoja zenye tija na kutusaidia kutukwamua sisi watanzania wote tusipoteze muda wa kujadili mambo mepesi mepesi ya watu individual kama haya
Mkuu OSOKONI usitegemee khalifa kukamatwa
Serikali tuseme basi imekuwa TEC, kwani siku hizi unazisikia tena barua za kiuchungaji?Dini si kigezo ktt teuzi. Msiigeuze serikali kuwa BAKWATA. Shule hamuendi vyeo mnataka tuwaeleweje?
Mbona kama ww ndo unatumikaHabari zenu wana jf!!