ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,118
Habari zenu wana jf!!
Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.
je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?
Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?
uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani
mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!
Habari zenu wana jf!!
Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.
je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?
Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?
Uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani
Mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!
Kasema kweli tupuHabari zenu wana jf!!

Awe mwenyewe au asiwe mwenyewe ni wakuchukuliwa hatua tu!, Sijui serikari inasubilia nini, huyo bwana na lile gazeti wameshamwaga sumu za kutosha, serikari isipokuwa makini udini wao unaweza kutuletea maafa kama yale ya swala la haki ya kuchinja.Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.
Mbona umefanya haraka kuituhumu Iran, mh! unatia shaka usije ukawa weye ndo uipendi Iran na dhehebu lake la shia, maana hata huko Sunni wapo watu wenye mawazo kama hayo ya Sheikh Khalifa Khamisi, cha msingi serikari iwachukulie hatua wote na tunaamini serikari na yenyewe inawafahamu.je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?
Hao The Islamic Foundation labda wawe wameacha, zaidi ya hapo nawenyewe wana akili kama Sheikh Khalifa, jamii haijasahau jinsi kituo chao cha redio (Radio Iman) kilivyo chochea udini kipindi kile kabla hakijafungiwa na TCRA.Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?
Na siku ile polisi wangechelewa kidogo sasa hivi angekuwa RIP. Wasiomjua ndiyo wanamshabikia, ni mpiga dili kwa mgongo wa Uislamu.at least wewe DOUGLAS SALLU unamfahamu khalifa Khamisi!! ilifika kipindi waislamu walitaka kumpiga msikiti wa mtoro akaenda kujificha chooni then baada ya mda mchache Polisi wakaingia fasta sana tena wakiwa kamili kwa mapambano na wakamuokoa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] walitaka kumgawana.hawa jamaa hapa ndipo huwa wananiacha hoi.Na siku ile polisi wangechelewa kidogo sasa hivi angekuwa RIP. Wasiomjua ndiyo wanamshabikia, ni mpiga dili kwa mgongo wa Uislamu.
at least wewe DOUGLAS SALLU unamfahamu khalifa Khamisi!! ilifika kipindi waislamu walitaka kumpiga msikiti wa mtoro akaenda kujificha chooni then baada ya mda mchache Polisi wakaingia fasta sana tena wakiwa kamili kwa mapambano na wakamuokoa