We mzee inabidi ukalee wajukuu sasa hivi ...miaka 60+ yoote hiyo bado upo kwenye keyboard kuandika upuuzi!!- HAHAHAHAHAHAHA Katimba kutoka U deejay zamani mpaka kuwa Sheikh only in Tanzania hahahahaha, hiyo Taasisi yake ni ipi na BAKWATA ni ipi? hahahahahaha KAtimba wewe mshikaji maan wacha haya mambo utajichafua bure hayakuhusu wachana na wanasiasa watakufikisha pabaya, mambo ya siasa waachie wanasiasa huyawezi kama vipi rudia kupiga Disco kama zamani.
- Wamekubebesha zigo usilolijua hukusoma gazeti la Mtanzania kuwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Taifa inawataka Wabunge Msukuma na Selasini kupeleka ushahidi wa maneno yao juu ya mali za MAkonda mpaka leo hawajaenda, I mean kwa nini Viongozi wa Dini mnjiingiza kwenye mkenge hivi?
le Mutuz
Kama selasini sio mpelelezi aliropokaje kitu ambacho hajapeleleza .Ina maana ni mumbeya anayeokota habari vijiweni na kuzirusha bungeni.Nampongeza bunge kukataa kurusha LIVE nmaana tungekuwa tunalishwa umbeya wa akina SELASINI. no research (upelelezi) no right to speak.
Hivi sheikh ni msemaji wa upande gani
Mkuu samahani napenda kujua kazi yake piaKama sheikh ni Mtanzania si lazima awe wa upande wowote ili kutoa maoni yake
BAKWATA ni branch ya Kanisa katoliki na CCM...Huyo ni yule sheikh ambaye siku zote ana vita na BAKWATA.Wivu umemjaa kuona Makonda ni rafiki wa BAKWATA na mfalme wa moroco anawajengea msikiti mkubwa pale .Huyu ni sheikh wa UKAWA .mASHEIKH wao ni wale WA answar sunna wagomvi wa bakwata.
hapa chini ni meya wa jiji la dar es salaam akisalimiana na DARWESHI DUME kwenye maulidi aliyoalikwa ADA ESTATE mikocheni kama mgeni rasmi.Hao ndio masheikh wa UKAWA
Japo inauma lakini ukweli lazima usemwe.Allah atakulipa sheikh qulul haq wainkkanna Murrah
Kwa waislam tumeenda mubashara nadhani
Mkuu sio hao,wale ni wale jamaa wa yule Sheikh Ubwabwa wa MkoaHawa watu ni wanafik sana aiseeeeeee.......
Juzikati walimpigia makofi na kumshangilia pale Paul alipo ahidi kuwajengea Nyumba ya sala......[emoji34] [emoji34].
Ebu ngoja niishie hapa, maana nimesha kasirika
Acha kukurupuka elewa kilicho andikwaHII NDO ILE JUMUIA YA SH.PONDA HATUWASHANGAI KUPINGA VITA DHIDI YA UNGA. WAO KAMA CDM VILE KILA JAMBO LA SERIKALI NI BAYA .
Mbona una attack past ya mtu... Paulo kwenye kitabu cha wakristo alikua muuaji lakini mwisho wa siku akawa mtume.- HAHAHAHAHAHAHA Katimba kutoka U deejay zamani mpaka kuwa Sheikh only in Tanzania hahahahaha, hiyo Taasisi yake ni ipi na BAKWATA ni ipi? hahahahahaha KAtimba wewe mshikaji maan wacha haya mambo utajichafua bure hayakuhusu wachana na wanasiasa watakufikisha pabaya, mambo ya siasa waachie wanasiasa huyawezi kama vipi rudia kupiga Disco kama zamani.
- Wamekubebesha zigo usilolijua hukusoma gazeti la Mtanzania kuwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Taifa inawataka Wabunge Msukuma na Selasini kupeleka ushahidi wa maneno yao juu ya mali za MAkonda mpaka leo hawajaenda, I mean kwa nini Viongozi wa Dini mnjiingiza kwenye mkenge hivi?
le Mutuz
wapi wamepinga vita ya unga?HII NDO ILE JUMUIA YA SH.PONDA HATUWASHANGAI KUPINGA VITA DHIDI YA UNGA. WAO KAMA CDM VILE KILA JAMBO LA SERIKALI NI BAYA .