Tumeambiwa BMK leo limepatwa na MSIBA! Mimi nafikiri huyu Sheikh Jongo amelia kwasababu mjumbe mwenzao kutoka kundi la 201 amefiwa na baba yake mzazi. Sitaki kuamini kabisa Sheikh Jongo amelia kwasababu nyingine kabisa zaidi ya hiyo niliyoitaja. Vinginevyo bungeni kutakuwa na toddlers.