Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,707
Bado hamjasema....Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya kuwagawa Watanzania ili kuwapofua wasiione fursa ya utajiri wa rasilimali zao.
Sheikh Jalala ameyasema hayo mara baada ya kuongoza Swala ya Eid El Adha (Eid ya Kuchinja) iliyofanyika katika Msikiti wa Ghadir Khum, uliopo Kigogo Posta mkoani Dar es Salaam.
Sheikh Jalala amesikitishwa na mataifa na watu wa nje wanaolalamika kuwa Tanzania kuna ukandamizaji wa kidini, akitaja kuwa madai hayo ni ya uongo na yana lengo la kupika chuki kwenye "kisiwa cha amani."
Royal Tv
Na hawajifunzi, wanazidi kuonekana kitukoSerikali ikiwa na project yoyote ya hovyo hawa ndugu zetu watapewa kipaumbele.
Wanadhalilisha sana dini.
Sheikh JalalaSheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya kuwagawa Watanzania ili kuwapofua wasiione fursa ya utajiri wa rasilimali zao.
Sheikh Jalala ameyasema hayo mara baada ya kuongoza Swala ya Eid El Adha (Eid ya Kuchinja) iliyofanyika katika Msikiti wa Ghadir Khum, uliopo Kigogo Posta mkoani Dar es Salaam.
Sheikh Jalala amesikitishwa na mataifa na watu wa nje wanaolalamika kuwa Tanzania kuna ukandamizaji wa kidini, akitaja kuwa madai hayo ni ya uongo na yana lengo la kupika chuki kwenye "kisiwa cha amani."
Royal Tv
sheikh Jalala yupo sahihi kabisa 100%,Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya kuwagawa Watanzania ili kuwapofua wasiione fursa ya utajiri wa rasilimali zao.
Sheikh Jalala ameyasema hayo mara baada ya kuongoza Swala ya Eid El Adha (Eid ya Kuchinja) iliyofanyika katika Msikiti wa Ghadir Khum, uliopo Kigogo Posta mkoani Dar es Salaam.
Sheikh Jalala amesikitishwa na mataifa na watu wa nje wanaolalamika kuwa Tanzania kuna ukandamizaji wa kidini, akitaja kuwa madai hayo ni ya uongo na yana lengo la kupika chuki kwenye "kisiwa cha amani."
Royal Tv
Sheikh anaamini hatujui kuwa Tanzania ina rasilimali nyingi au mimi ndio sijaelewa?Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya kuwagawa Watanzania ili kuwapofua wasiione fursa ya utajiri wa rasilimali zao.
Sheikh Jalala ameyasema hayo mara baada ya kuongoza Swala ya Eid El Adha (Eid ya Kuchinja) iliyofanyika katika Msikiti wa Ghadir Khum, uliopo Kigogo Posta mkoani Dar es Salaam.
Sheikh Jalala amesikitishwa na mataifa na watu wa nje wanaolalamika kuwa Tanzania kuna ukandamizaji wa kidini, akitaja kuwa madai hayo ni ya uongo na yana lengo la kupika chuki kwenye "kisiwa cha amani."
Royal Tv
Kazi ya jalala inajulikanaSheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya kuwagawa Watanzania ili kuwapofua wasiione fursa ya utajiri wa rasilimali zao.
Sheikh Jalala ameyasema hayo mara baada ya kuongoza Swala ya Eid El Adha (Eid ya Kuchinja) iliyofanyika katika Msikiti wa Ghadir Khum, uliopo Kigogo Posta mkoani Dar es Salaam.
Sheikh Jalala amesikitishwa na mataifa na watu wa nje wanaolalamika kuwa Tanzania kuna ukandamizaji wa kidini, akitaja kuwa madai hayo ni ya uongo na yana lengo la kupika chuki kwenye "kisiwa cha amani."
Royal Tv
Ila hawa jamaa yaan wakishashiba mfukoni awe na buku 20 huku ameweka toothpick mdomon wanaona washamaliza kila kitu duniani!! Kibaya zaid elimu ya kuchanganua mambo kwa kina hawana, wao huenda na upepo tu.Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya kuwagawa Watanzania ili kuwapofua wasiione fursa ya utajiri wa rasilimali zao.