Sheikh Hamza akiri kukosea, aomba radhi

Sheikh Hamza akiri kukosea, aomba radhi

Kwanza kabisa hatakiwi kumuomba msamaha sheikh bali amuombe msamaha ALLAH SUHANA WA TAALAH kwani ndie aliemkosea na kutoa shahada upya.
 
Muwe mnaleta habari kamili, wengine tunaona kiarabu hapa
 
Muwe mnaleta habari kamili, wengine tunaona kiarabu hapa

Fuatilia Habari mkuu, kuna uzi humu unamhusu huyo sheikh Hamza akitoa tafsiri ya aya za Qur'an ambayo sio sahihi.

Nikipata nafasi Nita uweke
 
Back
Top Bottom