Sheikh Hamza akiri kukosea, aomba radhi

Sheikh Hamza akiri kukosea, aomba radhi

Temporary01

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2011
Posts
260
Reaction score
70
Hayo yamejiri ndani ya ofisi ya Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam baada ya sheikh Hamza kuomba kuonana na Sheikh wa Mkoa.

WhatsApp Image 2016-11-09 at 09.02.40.jpeg
 
Attachments

Alikuwa anafanya dawa za nini? Na huko kanisani alikuwa anafanya nini?
 
Kwa hyo sheikh au Shekhen maan ktka uislam hatuna hyo dini ye2 ya aman n c chonganish
 
Hii habari haileweki kabisa
1. Dawa za ainagani na zilitumikaje?

2. Huko kanisani alikuwa anafanya nini?

3. Makosa yake ni yepi?

Mleta mada hebu tusaidie mkuu
 
Mleta mada umeleta nusunusu alafu eti ndo mwana habari,kweli?

Ama hutaki kusema ?
 
Sasa anaomba kosa gani,aliingia akakarbishwa kuongea nae akaongea kadili Mungu alivyomjalia
Sikuwahi kumsikia,ila inaonekana matamshi yake yalikua yanaeneza chuki na kuhatarisha amani,ndio mana wakamketisha chini na kumkanya
 
Sikuwahi kumsikia,ila inaonekana matamshi yake yalikua yanaeneza chuki na kuhatarisha amani,ndio mana wakamketisha chini na kumkanya
Kuna clip niliona sehemu inster,nadhan kuna kitu aliongea kana kwamba na yeye ni mkristo huenda ndio huko kimewaudh....
 
sasa kaenda kwa hao masheikh ubwabwa kwani ndio aliwakosea wao hadi akawaombe msamaha?!hii bakwata mungu anawaona
 
sasa kaenda kwa hao masheikh ubwabwa kwani ndio aliwakosea wao hadi akawaombe msamaha?!hii bakwata mungu anawaona
Mkuu tumia lugha ya staha kwa viongozi wa dini hata kama huwaamini
 
Back
Top Bottom