Sheikh Hamisi Mataka: Nilivyokoseshwa elimu ya Sekondari

Ralph...
Rais Benjamin Mkapa alipoelezwa matatizo haya katika risala rasmi aliyosomewa
na viongozi wa Waislam alitoa majibu kama hayo yako na akaomba ushahidi wa
kisayansi.

Ushahidi wa kisayansi ukatayarishwa katika njia ya kitabu ili uwafikie watu wengu
zaidi.

Kitabu kilizuiwa uwanja wa ndege na baada ya kama siku mbili tatu hivi serikali ikatoa
tamko kuwa kitabu hicho kimepigwa marufuku hakiruhusiwi kuingia nchini.

Huo ndiyo ukawa mwisho wa ushahidi wa hiyo dhulma ambayo iliombwa upatikane
ushahidi wa kisayansi.

Toafauti yangu mimi na wewe ni kuwa sisi ni watendewa na tumekivaa kiatu kwa hiyo
tunajua upande gani kinabana.
 
QUOTE="Madrid boy, post: 26215387, member: 434686"]Mo mimi mwenyewe baba yangu ni mkristo jina lake lilikatwa akapewa mtu mwingine tunaliwekaje hilo kwenye historia[/QUOTE]
Madrid...
Hiyo ni ajabu kubwa sana kwa kuwa huwa kwa kawaida haiwi hivyo labda
ningeomba kujua kuwa huyo aliyopewa alikuwa Muislam?

Juu ya hayo nimefurahi kuwa na wewe umehakikisha kuwa Wizara ya Elimu
huwa wanakata majina.
 
Sheikh huyu mwl Kasunsumo umepata ridhaa yake ya kuja kumuanika huku! Nimepata bahati ya kufundishwa naye
 
Hii dini ina inferiority complex nashukuru sipo huko
Nyiokunda,
Uislam ungekuwa una hiyo ''complex,'' uhuru wa Tanganyika ungechelewa sana.

Soma historia ya Tanganyika uangalie ni watu gani walipambana na Wajerumani
kwa silaha na Waingereza kwa mbinu za siasa.

Unaijua historia ya Kleist Sykes katika African Association (1929 - 1949) au ya
mtoto wake Abdulwahid Sykes katika TAA/TANU (1950 - 1961)?

Umesoma historia ya Hassan Suleiman na Ali Juma Ponda (1945 - 1955)?
Unaijua historia ya Abdulrauf Songea Mbano katika Vita Vya Maji Maji 1905 - 1907)?

Unaijua historia ya Sheikh Hassan bin Ameir katika siasa za kupigania uhuru
(1940 - 1961) na baada ya uhuru akaweka jiwe la msingi kujenga Chuo Kikuu
mwaka wa 1968?

Unaijua historia Sheikh Yusuf Badi wa Lindi katika kupambana na propaganda za
Kanisa Southern Province lilipokuwa linawatisha waumini wake wasijiunge na TANU
kupigania uhuru?

Unaijua historia ya Bi. Sharifa bint Mzee?
Uaijua historia ya Salum Mpunga na Yusuf Chembera?

Ushamsikia Haruna Taratibu katika historia ya uhuru wa Tanganyika?
Nani mwenye ''mentality,'' ya kukubali ''inferiority?''

Hakika si hao niliokutajia na wako wengi sikuwataja wake kwa waume.

Je unawajua hao hapo chini ni akina nani na ulikuwa mwaka gani na walikuwa wapi
na nini kilikuwa kinawahangaisha wapo steshehi ya treni Dodoma.

Unajuwa walikuwa wanakwenda wapi na kutafuta nini?
Au kwa kuwa historia yao imefutwa ndiyo unadhani unaweza ukaja hapa na kejeli?:


Kushoto ni Idd Faiz Mafungo, Sheikh Mohamed Ramia, Baba
wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Abdu Kandoro na Haruna
Taratibu 1955.
 
Duh!!!
 
.. lakini Mwalimu wa sheikh Mataka alimwambia japo anauwezo mkubwa HATOCHAGULIWA.... alijua kuwa kwa sababu ya Uislamu wake HAWATOMCHAGUA.
 
Bahati mbaya historia zako hazitumiki mahali popote palipo rasmi (official). Historia rasmi inayotumika na inayofundishwa ni ya Mwalimu Nyerere (Mkristu Mkatoliki) kuongoza harakati za kutafuta uhuru wa Tanganyika, hao wengine wala huwa hawauliziwi
Watoto wanasoma shuleni lakini kitaa/nyumbani, au kwingineko wanaambiwa mengine..


Haya mambo si siri tena hata kidogo.
 
WAKRISTO MSIKATAE HAYA MAMBO SI TU YALIKUWEPO ILA BADO YAPO.


UKWELI NI KUWA UKRISTO ULIVYOKUJA AFRIKA ULIKUJA NA KUMBUKUMBU YA KUSHAMBULIWA KWA ULAYA NA UISLAM

NA ULIJUA KWA KUWEPO UISLAM UKRISTO HAUTASTAWI.


NA NDO MAANA UKRISTO UMEANZIA ZANZIBAR, NA PWANI YA AFRIKA MASHARIKI,(1870) ILA WAISLAM WALIVYOSHINDIKANWA KUBADILI DINI,NDO UKRISTO UKALETWA BARA(1890).
 
Huyu naona HAJUI hata harakati za waislam nchini.


Hajui Ndalichako ALIKUBALI watoto wa kiislam kushushwa maksi ktk somo la Islamic knowledge.

Hata vitabu hasomi.

Elimu haipatikani kwa kudhani bali kwa kusoma.

Soma : Kanisa katoliki na siasa za Tanzania(Sivalon)

Maisha ya Abdul Wahid Sykes:Historia ya iliyosahaulika(Mohammed Said).
 
HUU NI UONGO MWEUPE... KWA VYOVYOTE VILE WAZEE WALITAKA WATOTO WAO WASOME ILA WASIALIBIWE IMANI ZAO.

UKRISTO NAO ULITUMIA MASHULE/ELIMU KAMA NJIA YA KUSAMBAZA UKRISTO.


HATA MKUTANO WA BERLIN ULISISITIZA HIVYO.

MIMI NI SHAHIDI NNA MIAKA 35,MAMANGU KAZALIWA 1959 ILA ASEMA AUJUA VIZURI UKRISTO KULIKO UISLAM.. MAANA HATA BAADA YA UHURU IMECHUKUA MIAKA SI PUNGUFU YA 7 KUTAIFISHA SHULE NA HATA WALIPOTAIFISHA MABAKI/KWA MAANA YA MASOMO YA UKRISTO YALIENDELEA KUWEPO.


MJOMBA ANGU MWINGINE ALISOMA HUKO, NA HAKUWA MAKINI NA DINI, NA WAISLAM WENGI WALIPATA SHIDA.


UKWELI NI KUWA HATA PALE WALIPOTAKA KUANZISHA SHULE WALIPATA VIKWAZO VINGI SAANA.

NA NANI ASIYE JUA NAMNA GANI UISLAM UNAHIMIZA SAANA ELIMU.

WAZUNGU WENYEWE ELIMU WALIITOA KWA WAISLAM.


HAYA MAMBO NI KWELI.. MSIKATAE..

AFU SOMENI KWANZA VITABU KABLA YA KUCOMMENT.
 
HIZI NI PROPAGANDA ZA WAMISHONARI KUWA WALIKOMBOA WATUMWA ZANZIBAR..

UONGO MTUPU.


KASUMBA HIZI TUMEFUNDISHWA MASHULENI.
 
KWANI ULIAMBIWA FISADI HUIBA HELA YOTE KWA MKUPUO???


HUIBA KIDOGO KIDOGO ILI ASIJULIKANE, NA UFIKIRIE LABDA HUJUI MAESABU, AU UMEPATA HASARA.


HAYA MAMBO YAPO. PERIOD.

NO RESEARCH NO RIGHT TO SAY.


UNAKURUPUKA NDOTONI UNASEMA.

WENZAKO WAMERESEARCH KWANZA KABLA YA KUONGEA.

HIVI MNADHANI WATU WANAONGEAONGEA HOVYO???
 
KWANI NINI???....


HUJUI CONCEPT YA NUMBER YA KIGOMA MALIMA....


NAMBA ZILIKUWEPO KABLA ILA ALICHOGUNDUA MALIMA NA ILITHIBITIKA MWAKA MMOJA BAADAYE WATOTO WA KIISLAMU KUONGEZEKA KIUFAULU...

NI KUWA BAADA YA KUSAHIHISHWA MAX ZILIAMBATANISHWA NA JINA HARAKA HARAKA...

ILA KILICHOFANYIKA BAADA YA KUGUNDULIKA NI KUWEJA MAX KWENYE NUMBER, KISHA SEKTA NYINGINE HUOANISHA NUMBER(SASA ZIKIWA NA MAX) NA MAJINA.
 
Hii dini ina inferiority complex nashukuru sipo huko
UMEPOTEA WEWE.. UNADHANI MIMI NNA INFERIOLITY COMPLEX.. NA VIPI DR. MOHAMED SAID???


MWENZIO KAFANYA UTAFITI.. NA UZURI HAKUNA ALOJITOJEZA HADHARANI KUMPINGA.


WAISLAM WANGEKUWA NA INFERIOLITY COMPLEX WANGETAWALA SPAIN MIAKA 700,AU KUITAWALA NUSU ULAYA???
 
Tatizo mnalalamika sana ,mngekuwa kama Gugume mngekuwa poa.Ebu sasa Kazeni buti kielimu.Tunaokaa wilaya ya Temeke tunaona udhaifu mkubwa toka level ya familia hadi kaya.Badilikeni ulalamishi hauleti ufumbuzi.Mshike elimu asiende zake.
 
QUOTE="Madrid boy, post: 26215387, member: 434686"]Mo mimi mwenyewe baba yangu ni mkristo jina lake lilikatwa akapewa mtu mwingine tunaliwekaje hilo kwenye historia
Madrid...
Hiyo ni ajabu kubwa sana kwa kuwa huwa kwa kawaida haiwi hivyo labda
ningeomba kujua kuwa huyo aliyopewa alikuwa Muislam?

Juu ya hayo nimefurahi kuwa na wewe umehakikisha kuwa Wizara ya Elimu
huwa wanakata majina.[/QUOTE]
Huo ni mtazamo wangu kwakua Baba yangu alikua anafaulu sana Darasani hatoki 5 bora lakini hakuchaguliwa secondary ndiyo maana yangu unalizungmziaje??
 
Hiyo kitu cha kawaida ,kila zama zina muda wake .
 
Astaghfirullah! Ulianza darasa la kwanza ukiwa na umri wa miaka 11 tena jijini Dar es Salaam! Nikiwa na umri wa miaka 11 nilikuwa niko darasa la 6 tena kijijini! Ngoja nikae kimya.
mwaka gani?
 
Hiyo kitu cha kawaida ,kila zama zina muda wake .
SASA NDO ZAMA ZA UISLAM KUWA NA KUWA NA NGUVU ZINAVOANZA SASA.


ONA NAMNA ULAYA TARATIBU INAVYOSILIMU!!!


ONA NAMNA "NJAMA ZA AKINA NYERERE NA KANISA KATOLIKI" ZUNAVYOGUNDULIKA.

HAKIKA ZAMA ZA SASA UISLAM WAKUA SANA DUNIANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…