Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,144
- 26,651
Kuna mtu ameshaachia uzi kuhusu habari hii, ni vyema kupitia nyuzi mpya kabla ya kukibilia ku-post uzi mwingine ukidhani ni wewe peke yako ndio wa kwanza kupata taarifa! Mods, unganisheni nyuzi hizi.Sheikh Farid amepatika muda huu
Chanzo jumuiya ya uhamisho
Napata mashaka kuwa kuna mchezo umechezwa hapa!
Kesharudi mkuu! Alikuwa nyumba ndogo,huyo sheikh mwenyewe hana hata hadhi ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi kwa wenye akili,lakini ni mungu wa wajinga,huyu ni wakukamata na kumcharaza bakora mpaka anye,jinga kabisa hili.
Amesema alikuwa ametekwa na polisi!!
.......awataje wapi wakat aljificha mwenyewe!ngoja aendelee kuwachwzea akili zao za kushikiwaTusubiri tuone kama atathubutu kuwataja waliomteka. Ngoja aje na kusema hakutekwa!!