Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

Mchizi wamecheza hide and seek stupid game! they can only fool themselves AND their followers! ili watuambie haya- unaona sisi ni vidume na tumetoa 26 hrs, wallahi wamemuachia!!. Kwa mtazamo wangu wakuu WAIT FOR THE NEXT BIG THING! the sheeps will follow and we will be in a big mess! someone needed to wake my fellow Tanzania Muslims up!!
 
Hao UAMSHO walimficha ili wapate kisingizio cha kufanya ghasia, na baadae wakaipa serikali masaa 26 sheikh apatikane, wakati ukweli walipanga (UAMSHO) kumuachia sheikh ndani ya hayo masaa 26 waliyoipa serikali na hivyo kuonesha kama serikali imesalimu amri!

Usanii mtupu!

Usanii uliochanganyika na ujinga!
 
Khabari za uhakika nilizozipata sasa hivi shkh fareeed asharudi na yu mzima wa afya nitazidi kukujuzeni

kama hizi habari ni za kweli..hili kundi la uamsho ni hatari sana..kuna mchezo wamefanya tena wa kishenzi sana huyu mtu alijificha tu wameshafanikisha malengo yao sasa anajitokeza
 
Tunaomba picha akiwa kwake ili tuwe na uhakika maana hata ulimboka mlisema amepatikana mzima kabisa wakati wmechwapwa na kuliishwa matope
 
mkwara wa masaa 26 umesaidia kumrejesha,ngoja na yeye atupe hadithi za Dr.Ulimboka
Ha ha haa...kweli ushujaa unatafutwa kwa nguvu!


1-s2.0-S0022073610002050-gr8.jpg


Masaa 26 indeed!
 
Akamatwe na akaunganishwe na mwenzie ponda huko segerea,sijui kiboga kipo salama huko?naskia Badman yupo naye sero moja!
 
Tumeruhusu akili ndogo itutawale wenye akili nyingi, Tuombe mungu tufike 2015, Sarakasi kila mahala
 
Hili jambo linawezekana kuwa huyu shekhe wao hajatekwa kwa maelezo ya dereva wako source itv taarifa ya habari ya saa 12 ...inaonyesha kabisa amejifisha na aumsho wanajua aliko ...lengo lengo lao ndo hili linalotoka kuchinjwa watu,vurugu etc..lakini muda si mrefu huyu mtu atajitokeza na kusema alitekwa na serikali kumbe uongo mtupu na hasa katika muda huu wa masaa 26 waliotoa atajitokeza tu
 
Uthibitisho mwingine wa serikali Dhaifu. Ina maana kweli serikali inateka watu. Naapa kuanzia leo ndugu au rafiki yangu yoyote anayependa CCM hapati msaada wowote kutoka kwangu, iwe mchango wa harusi au msiba. Hawa jamaa ni mashetani tosha
 
Kwa sababu za kiusalama inabidi makachero wamuhoji ili kujua alikuwa wapi na atoe ushirikiano, then hao waliomshikilia wabanwe ili tujue ni kina nani!. Hii itasaidia ka deal uchwara walichofanya Uamsho kadhibitiwe.
 
haya sasa mmemchinja muislamu SAID mwenzenu aliyekuwa anaganga njaa na sare za polisi huyo gaidi wenu ameshatoka nyumba ndogo .ama kweli dunia haitaisha maajabu
 
Umesema amepatikana akiwa na afya njema sana?

Labda aliuwa amejifungia mahali anapiga vitu laini laini.
Si unajua zenji vile vitu lazima umifiche sana?
 
Kesharudi mkuu! Alikuwa nyumba ndogo,huyo sheikh mwenyewe hana hata hadhi ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi kwa wenye akili,lakini ni mungu wa wajinga,huyu ni wakukamata na kumcharaza bakora mpaka anye,jinga kabisa hili.
 
Back
Top Bottom