Si tunajuwa kuwa masheikh wote wana njaa.Hiyo briefcase ya pesa aliitoa wapi?.Au ilikuwa ni mbinu ya kuficha dhamira yao ya mauwaji tu.Kwamba walitaka briefcase yenye hela?!, kwani licha ya kuwa sheikh ni biashara ipi anayofanya?!, isijeikawa na ficha ukweli- naoan kama ni maujai ya kisasi, i stand to be corrected.