LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 16,420
- 30,793
SHEIKH SALEH KUTOKA VISIWA VYA LAMU, AIELEZEA NGUVU YA AJABU INAYO PATIKANA KATIKA KITABU CHA ZABURI SURA YA 109.
Mwandishi : Mungwa Kabili......0744 000 473.
.....................................................................................
Sheikh Saleh kutoka visiwa vya Lamu nchini Kenya amejaaliwa karama kuu ya kutatua matatizo ya wanadamu kwa njia ya duwa na visomo mbalimbali.
Sheikh huyu ambaye yupo katika ziara ya wiki mbili jijini Dar Es Salaam, Tanzania kabla ya kuelekea nchini Mozambique (Msumbiji) kwa mwaliko wa wachimba madini wanao fanya kazi ya uchimbaji madini nchini humo, amefanya mahojiano maalumu, na mwandishi na mtafiti Mungwa Kabili, ambaye amejikita katika masuala yanayo husu ulimwengu usio onekana.
Nilifanya maswali mbalimbali, moja kati ya maswali niliyo muuliza ni je. “ Mtu anaweza kutumia kitabu cha Biblia kumuombea mabaya mtu mwingine ? “
Jibu la Sheikh Saleh ni : “ NDIO! NI KWELI KABISA, MTU ANAWEZA KUTUMIA BIBLIA KUMUOMBEA MABAYA MTU MWINGINE. “ Alisema Sheikh Saleh.
Sheikh Saleh aliongeza ;
“ Biblia ni kitabu kitakatifu. Ni kitabu chenye mamlaka makuu. Kitabu hiki kinaweza kutumika kubariki lakini pia kinaweza kutumika kulaani. “
MUNGWA KABILI : Ni andiko gani la kwenye Biblia ambalo mtu anaweza kutumia kumuombea mtu mabaya na yakampata.
SHEIKH SALEH : Ni Zaburi Sura ya 109. Ukimsomea mtu andiko hilo, mtu huyo atakuwa katika wakati mgumu sana kwenye maisha yake na hakika aatakufa na kuwa acha watu walio kuwa wakimtegemea, wakiishi katika mazingira magumu sana.
HATA HIVYO, kwa sababu andiko hili lina NGUVU KUBWA SANA! Kuna masharti katika kumsomea mtu andiko hilo.
i. Kwanza mtu huyo lazima awe amekukosea kweli na uwe na uhakika amefanya kosa hilo kwa kukusudia.
ii. Pili uwe umemfuata mtu huyo na kutafuta suluhisho kati yako nay eye. Hakikisha umempa nafasi ya kutubu.
iii. Tatu wewe mwenyewe uwe msafi wa roho. Hakikisha hakuna mtu yoyote ambaye umemkosea jambo lolote na walwa hakuna mtu yoyote ambaye ana manun’guniko juu yako.
iv. Nne; uwe msafi mbele za Mwenyezi Mungu. Uwe na uhakika ndani ya moyo wako kuwa, huana deni (kosa/dhambi) yoyote kwa Mungu.
JINSI YA KUSOMA NA MUDA WA KUSOMA ANDIKO HILO.
Ukisha jiridhisha na mambo hayo manne niliyo yaeleza, basi unaweza ukaanza kumsomea andiko hilo huyo mbaya wako.
UNATAKIWA MARA AROBAINI KILA SIKU, EIDHA USIKU WA MANANE AU ALFAJIRI, KWA MUDA WA SIKU 365 au 366 (mwaka mzima ).
Unatakiwa kusoma kila siku. Usiruke hata siku moja. Ukiruka hata siku moja, basi UTAKUFA na MAMBO MABAYA ULIYO MNUIA ADUI YAKO HUYO, YATAIRUDIA FAMILIA YAKO NA WATU WAKO WOTE MUHIMU…
Sheikh Saleh anasema , kama kuna mtu una ubaya nae ni bora utafute nae suluhu kuliko kumsomea Zaburi ya 109 kwa sababu masharti yake ni magumu, na imewadhuru watu wengi sana walio jaribu kufanya hivyo.
Anamalizia kwa kusema; Unaweza kutumia Biblia kujiombea dua katika masuala mbalimbali, kama vile familia, biashara nakadhalika, ilimradi tu uwe mtu wa ibada na msafi wa moyo.
Kwa mfano, kama wewe ni mfanya biashara mkristo na unataka kufanya dua ya mvuto wa biashara, Soma Mithali 8:21 na Isaya 60:11, kila siku usiku kabla ya kulala, asubuhi baada ya kuamka, na kila ufikapo katika eneo lako la biashara.
Kufahamu zaidi kuhusu shughuli za Sheikh Saleh. Tembelea :
ULIMWENGU USIOONEKANA: Dr. SALEH KUTOKA KISIWANI LAMU… BINGWA WA KISOMO, ANAYE FANYA MIUJIZA MIKUBWA KWA KUTUMIA VITABU NA UGANGA KUTOKA MISRI NA INDIA.
Makala haya yameandaliwa na MUNGWA KABILI, Mwandishi na Mtafiti kuhusu Ulimwengu Usio onekana. Anapatikana jijini Dar Es Salaam kwa simu namba 0744 000 473.