Shehena ya sumu yazuiliwa Chalinze | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shehena ya sumu yazuiliwa Chalinze

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tajiri Mtoto, Feb 13, 2009.

 1. T

  Tajiri Mtoto Senior Member

  #1
  Feb 13, 2009
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 131
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Wadau kuna taarifa kuwa kuna shehena ya sumu hatari ya "Cyanide" iliyokuwa ikisafirishwa kwenda kwenye moja ya migodi kanda ya ziwa imezuiliwa katika kituo cha polisi cha Chalinze kwa karibu wiki sasa. Kuna mtu ana taarifa ya kinachojiri?
   
 2. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Cyanide,mmm,a very dangerous poison indeed.Hawa vipi wanataka kutumaliza?

   
 3. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  no without cyanite hupati gold, ila kunatakiwa kuwa na uangalifu katika usafiri, kuhifadhi, kutumia na kudispose mabaki ya maji na udongo (tailing). Sasa sijui huko kwenye machimbo tailing dams zipoje.

  Cyanide ni hatari hakuna tena, haifai kwa kiumbe chochote, lakini ndiyo inaleta gold. Hivi hawa jamaa wa madini wanaruhusiwa kuingiza, chemicals, mabaruti nk pasipo utaratibu maalumu?
   
 4. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Tj cynide husafirishwa sana migodini, hii siyo first time. What i have heard ni kuwa mgodi huu ( Buzwagi) uliagiza hii sumu na kuwa-commision kampuni ya utoaji mizigo na usafirishaji ili wakamilishe ku-clear na then kusafirisha hadi huko mgodini. Sasa kwa sheria za usafirishaji wa sumu ni lazima lori lisindikizwe na gari ya king'ora cha hatari, pili kuwepo na mtaalamu wa sumu hizo ili incase kukawa na leakage kwenye lori basi mtaalamu atoe ushauri wa nini kifanyike. Sasa it seems hakukuwa na hatua zozote zilizochukuliwa wakati kwa kusafirisha mzigo huu, ndio maana polisi wakauzuia hadi taratibu zikamilike.
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hio ni sumu inayomaliza uhai katika sekunde tu,wanatumia zaidi wapiganaji wa Tamili Tigers au wanajeshi walioko vitani punde akikamatwa anatakiwa airambe tu na hapohapo anapoteza uhai ,hata katika filamu za kijeshi utaona jamaa anapokamatwa anawahi kuoa kitu kwenye ukosi au mfuko ili awahi kuramba na kupoteza uhai,yaani ukimuekea mtu kwenye kingo za glasi ya maji basi umemmaliza pindipo akianza kunywa ni very dangerous kama sumu ya mamba.
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hebu fikiria hilo lori liende umbali wote huo na hiyo shehena ya sumu bila kusindikizwa na magari ya usalama....God forbid, lifike pahali ligongane na kupinduka na haya mabasi yetu yanayopata ajali kila leo halafu sumu hiyo itirilike kwenda kwenye vyanzo vya maji vya mito mikubwa... waliolizuia kuendelea na safari kwa kutofata taratibu wanahitaji pongezi kubwa!!
   
 7. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Steve D hata mimi nashangaa, limefikaje kote huko bila polisi njiani kugundua? You know in TZ tunaishi kwa Gods grace only otherwise issue kama hizi zinaweza kuondoa maisha ya maelfu in just a second.
   
 8. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Kichwa cha mwendawazimu. Kila mkasi unaweza kunyoa tu. Kwa ulivyofikiria mkuu SteveD, ndivyo nilivyowaza harakaharaka.

  Tunaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu
   
 9. Piemu Esquire

  Piemu Esquire Member

  #9
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cyanide is generally considered to be a rare source of poisoning; however, cyanide exposure occurs relatively frequently in patients with smoke inhalation from residential or industrial fires. Cyanide poisoning also may occur in industry, particularly in the metal trades, mining, electroplating, jewelry manufacturing, and x-ray film recovery. It is also encountered in fumigation of ships, warehouses, and other structures. Cyanides are also used as suicidal agents, particularly among healthcare and laboratory workers, and they can potentially be used in a terrorist attack.

  Numerous forms of cyanide exist, including gaseous hydrogen cyanide (HCN), water-soluble potassium and sodium cyanide salts, and poorly water-soluble mercury, copper, gold, and silver cyanide salts. In addition, a number of cyanide-containing compounds, known as cyanogens, may release cyanide during metabolism. These include, but are not limited to, cyanogen chloride and cyanogen bromide (gases with potent pulmonary irritant effects), nitriles (R-CN), and sodium nitroprusside, which may produce iatrogenic cyanide poisoning during prolonged or high-dose intravenous therapy (>10 mcg/kg/min).

  Industry widely uses nitriles as solvents and in the manufacturing of plastics. Nitriles may release HCN during burning or when metabolized following absorption by the skin or gastrointestinal tract. A number of synthesized (eg, polyacrylonitrile, polyurethane, polyamide, urea-formaldehyde, melamine) and natural (eg, wool, silk) compounds produce HCN when burned. These combustion gases likely contribute to the morbidity and mortality from smoke inhalation.

  Finally, chronic consumption of cyanide-containing foods, such as cassava, may lead to cyanide poisoning.

  Overall, depending on its form, cyanide may cause toxicity through parenteral administration, inhalation, ingestion, or dermal absorption.


  Cyanide affects virtually all body tissues, attaching itself to ubiquitous metalloenzymes and rendering them inactive. Its principal toxicity results from inactivation of cytochrome oxidase (at cytochrome a3), thus uncoupling mitochondrial oxidative phosphorylation and inhibiting cellular respiration, even in the presence of adequate oxygen stores. Cellular metabolism shifts from aerobic to anaerobic, with the consequent production of lactic acid. Consequently, the tissues with the highest oxygen requirements (brain and heart) are the most profoundly affected by acute cyanide poisoning.

  Chronic consumption of cyanide-containing foods eventually can result in ataxia and optic neuropathy. Defective cyanide metabolism due to rhodanese deficiency may explain development of Leber optic atrophy, leading to subacute blindness. Cyanide also may cause some of the adverse effects associated with chronic smoking, such as tobacco amblyopia.
   
 10. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Cha aibu na kushangaza, na kinachoendeleza sisi kama waafrika kuendelea kuombeleza misaada kila leo hii ni - pale tutakapoona hamna anayewajibika/shwa katika tukio hili ambapo ni dhahiri kwamba kuna watu hawakufanya kazi zao ipasavyo.

  You know NN saying as much as we dislike it, befits in situations like this so well....
   
 11. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni kweli!!!

  Kuna uzembe ambao unaweza kukawiza mzembe na kumfanya aajifunze n a hard way etc!

  Sio ajali na uzembe wa usafirishaji wa Cyanide!

  Wahusika take care... !!

  You can mess Up with Richmond .. EPA na vitu kama hivyo but not with this one!
   
 12. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MWIBA,
  Kama sumu hiyo ni hatari kiasi hicho , hapo kwenye kituo cha polisi wawe makini isichukuliwe na mafisadi.
   
Loading...