Shehe Yahya chalii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shehe Yahya chalii

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Yo Yo, Nov 1, 2010.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Alisema shibuda atakufa...alipobanwa mbona mtu hafi?? akasema atakufa kisiasa....atashindwa na kupotea kabsaaaa.....
   
 2. s

  siwalaze Senior Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 124
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  achaneni na wachawi!!! Sisi ni sauti ya Mungu hatuongozwi na wachawi!!!!
   
 3. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Shehe Yahya Hussein anahangaishwa na njaa. Hata hao anaowapata nao wana matatizo ya ubongo kama yeye. Huyu wala si shehe bali mshirikina wa kawaida tu anayeutia aibu uislam kwa njaa zake. Na alaaniwe kiumbe huyu sawa na mabwana zake yaani mafisadi na wachakachuaji.
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tunajua ana kazi mbili......usalama na uganga....
   
 5. C

  Challenger M Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ole wake yule asomaye nyota, mpiga ramli na wachawi hakika Jehanamu ni yao. Inampasa atubu dhambi zake zote alizozifanya ikiwemo na kuiba nyota za watu apigweeeeeeeeeeeeeeeeeeee..............
   
 6. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hako kazee ukikaoa hivi sasa utakaonea huruma. kamechuja sana. afya imeyumba siyo mchezo. sikaombei vibaya lakini siku zake zinahesabika tu.
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Usalama!! Labda usalama wa jk na familia yake, tena usalama wa kimazingala.
   
 8. p

  p53 JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kwani naye yuko UWT?
   
 9. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mimi nilifikiri amekufa. Chali yenyewe ndiyo hiyo? Mbona siku zote huwa anachemka tu. Si ndiye aliyesema Rais wa Tz angekuwa mwanamke, na akasema uchaguzi ungeahirishwa? sasa yameishia wapi?
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  nakumbuka ndio alimsakizia jamaa mmoja kipindi kile cha uhaini afika kusini akavushwa mpaka maputo....
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mkuu wala usihangaike na huyu mshirikina!
   
 12. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Alikuwa akimanisha Yeye atakufa. Yahaya atakufa in Jesus name
   
 13. JJ Masselo

  JJ Masselo Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kwani Shehe Yahya nani? hana lolote mweupe tu yule, haya sasa aseme lingine tena, Kelele za mlango toka lini zikamzuia mwenye nyumba kaulala? tumesha mhakikisha kua hana lolote.:tape:
   
Loading...