Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
bado hawajaimba,wao c watu wa fujo?wakafanye fujo magereza sasa
Nani kakwaambia waislam ni watu wa fujo wewee! Acha kufikiri kwa kutumia makalio
Mkuu huo ndio mfumocristo. Wanaliingizia hasara Taifa kwa kesi ya kuku na upande wa kangaWanampa umaarufu wa bureee...wampe tu dhamana! Kesi ya mil 59 ndio itucost gharama zote hizo za escort na ulinzi kila akija mahakani! Au kuna shinikizo toka 'nje'?
Wanampa umaarufu wa bureee...wampe tu dhamana! Kesi ya mil 59 ndio itucost gharama zote hizo za escort na ulinzi kila akija mahakani! Au kuna shinikizo toka 'nje'?
na bado watahuzunika siku ya hukumu yake! si alijifanya kuipa serikali siku kumi kuachiliwa wafuasi wake leo ajipe mwenyewe saa ishirini na nne kuachiwa!
madhala ya unemployment haya, muda wa kufanya kazi, watu vijana kama hawa, wanenda kukesha mahakamani kumuangalia kiongozi wao chizi!
Hata makanisa huko Zanzibar inabidi yalindwe hivi