nanusa harufu ya udini hapa.
Kwanini isiwe padre kaletewa pensi toka Vatican, au kasisi wa Lutheran kaletewa pensi toka Jeremani, potelea mbali, au shemasi wa Anglican kaletewa toka Uingereza.
Udini huu...