Ugomvi huo, haya mimi simo.
na wewe unafanya nini?nanusa harufu ya udini hapa.
Kwanini isiwe padre kaletewa pensi toka vatican, au kasisi wa lutheran kaletewa pensi toka jeremani, potelea mbali, au shemasi wa anglican kaletewa toka uingereza.
Udini huu...
hahaha ingekuwa padre isingechekesha jamaa kafanisha kuinama masaburi nje na Oman sasa vatican wanamind masaburi... si ni oman.....
Bokoharamu wasumbufu sana wao kila kitu uchokozi tu!
nanusa harufu ya udini hapa.
Kwanini isiwe padre kaletewa pensi toka Vatican, au kasisi wa Lutheran kaletewa pensi toka Jeremani, potelea mbali, au shemasi wa Anglican kaletewa toka Uingereza.
Udini huu...
safi sana