Yaani ameongea tangu mwanzo hadi mwisho lakini hakuna hoja hata moja ya msingi zaidi ya kuchochea mihemko ya kidini na ubaguzi.Hawa jamaa hata waseme nini mimi huwa nawachekaga tu coz najua shule kichuani hakuna ila jazba. Wengi wana maisha magumu yanawapelekea kuwa na hasira muda wote, mtu ana hali mbaya wake 4 watoto kama utitiri elimu kayumba hicho sini kizazi cha kajamba nani mwanzo mwisho? Alikopita baba ndipo wanapokuja kupita watoto.
Wakishajua tu kuongea kiarabu cha kwenye korani wanajiona kama waarabu. So sad.Hawa jamaa hata waseme nini mimi huwa nawachekaga tu coz najua shule kichuani hakuna ila jazba. Wengi wana maisha magumu yanawapelekea kuwa na hasira muda wote, mtu ana hali mbaya wake 4 watoto kama utitiri elimu kayumba hicho sini kizazi cha kajamba nani mwanzo mwisho? Alikopita baba ndipo wanapokuja kupita watoto.
Anadai kama kuna mtu hataki kusikiliza anayosema aondoke yeye atabaki na majini hapo msikitini. Eti yamekuja kusikiliza mawaidha.Hawa jamaa hata waseme nini mimi huwa nawachekaga tu coz najua shule kichuani hakuna ila jazba. Wengi wana maisha magumu yanawapelekea kuwa na hasira muda wote, mtu ana hali mbaya wake 4 watoto kama utitiri elimu kayumba hicho sini kizazi cha kajamba nani mwanzo mwisho? Alikopita baba ndipo wanapokuja kupita watoto.
Hicho kitu kinawatesa snAna mapovu yake ya kidini ambayo anataka kuyaficha kwenye suala la bandari na kuyachanganya hadi kwenye urais.
Huu upo Kigamboni darajani kama sikoseimsikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo
Ni vichwa ambavyo havitafakari tu. Wasubiri watakuja kujua kuhusu hili la bandari wakati kumeshakucha. Eti wanadhani watu wanapinga kwa sababu ni waarabu!Wakishajua tu kuongea kiarabu cha kwenye korani wanajiona kama waarabu. So sad.
Wanakuwa trained tokea wakiwa wadogo.so mzizi umeshaota huku juu Ni mbuyu ndani mzizi umevuka mpaka hili Ganda la juu la dunia inakaribia kwenye kiini kabisa ,unadhani kwani ataongea Nini.Yaani ameongea tangu mwanzo hadi mwisho lakini hakuna hoja hata moja ya msingi zaidi ya kuchochea mihemko ya kidini na ubaguzi.