She... wote ni ndugu zao

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,244
Haya majina ni ya watu wa wapi vile?
Shemdodo
shemweta
sheruko
sherukindo
...
...
...
...
shetani...

Nataka kujua maana nasikia ni wenyeji wa tanzania
 
Upuuzi mtupu. Mara majina ya Kinyiramba. Halafu ya Kinyamwezi halafu sijui nini PUMBAFF. Andikeni vitu vya maana.
 
Upuuzi mtupu. Mara majina ya Kinyiramba. Halafu ya Kinyamwezi halafu sijui nini PUMBAFF. Andikeni vitu vya maana.

jamani jf doctor kamateni hilo li glopu mkalipime kule milembe maana nahisi votage zipo high.linasema tuandike vitu vya maana kwenye jukwaa la joke.
 
Upuuzi mtupu. Mara majina ya Kinyiramba. Halafu ya Kinyamwezi halafu sijui nini PUMBAFF. Andikeni vitu vya maana.

Taratibu jamani, saa 01:39 AM umetoka wapi hata ukaiparamia simu na kuingia JF? Nani kakuuzi hivyo?
 
shemhina
shemahonge
shemeji
sheubwabwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…