Mmeshapima ngoma?maana inawezekana ni victim na anajijua
Hana uhakika km utamuoa na anahc utamkimbia baada ya kuzaa coz wanaume nyie hamtabiriki!
ngoma tulipima mwezi wa 12 kila mtu yupo safe.
yaani ni kero tupu jana jioni nimekaa naye nikamweleza mabaya na uamuzi nitakaochukua endapo ajaitoa hiyo mimba lakini kawa mkali na ananiletea vurugu, kwa kweli huwa sipendi kupigana lakini kwa jana nimethubutu kumtia vibao vitatu.
Hata kama ni hivyo..ndo atoe mimba? me kashakubali atamuoa na anamlazimisha actoe yy hataki! Huyo ni mzoefu banaaa hana point.
Anamlazimisha kwa maneno? Kama yuko kwenye kuoa si aanze kujadili ratiba ya kuona wazee? Ila ikishafika mahali kama hapo bora muachane tu.
Msaada ndugu zanguni niko cross road mwenzenu.
Tumedumu na mpenzi wangu kwa takribani miezi 9, tukaaminiana, tukapendana na kufanya kila kitu pamoja. August 25 akaniambia anajisikia kuumwa sana tumbo na uchovu mwili mzma. Nikamshauri twende hosptl kupima malaria, pregnancy,etc.
Majibu yakaja kwamba ana mimba ya mwezi m1, kwa kweli kila mmoja wetu akatabasamu hasa mie ukizingatia ni uthibitisho wa ulijari wangu na kumhaidi kwamba ndiye mke wangu wa maisha. Cha kushangaza sana jana kaniambia kwamba anajiandaa kuitoa hiyo mimba coz hakuwa tayari kubeba mimba kwa sasa kwani malengo yake bado hayajatimia, kaenda kwa daktari kamwambia aende jumatano wakafanye hiyo kitu.
Nimejaribu kumshauri asiitoe mimba yangu, hajui mungu kampangia nini juu ya uzazi wake hataki, kasimamia msimamo wake wa kuitoa.
Swali langu kwenu, Je nitaweza kupata msaada wa kisheria kama atatoa mimba hii bila ridhaa yangu?
Ushauri wenu pia.
Ana umri gani?? uko katika hatua gani kimasomo? na yeye ni mwanafunzi au la?? majibu yako yataonyesha ni kwa nini anafikiria kuabort jibu tupate picha kwanzaJe sheria ya Tanzania inasemaje endapo mke ama mpenzi wako atautoa ujauzito bila ridhaa yako?
Nini kifanyike ili kunusuru jambo kama hili?
Ana umri gani?? uko katika hatua gani kimasomo? na yeye ni mwanafunzi au la?? majibu yako yataonyesha ni kwa nini anafikiria kuabort jibu tupate picha kwanza
Daaa hii kali aisee..
Kayoka.. Kwa tarehe ulizotoa itseems hyo mimba ina miezi 7..
Kwa matabia hayo wewe achana nae akitoa poa asipotoa Mshukuru Mungu.. But naona kama anatishia nyau..muda wote huo mbona hatoi anaishia kubwabwaja??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kumbe mko wengi.Hana uhakika km utamuoa na anahc utamkimbia baada ya kuzaa coz wanaume nyie hamtabiriki!
Watu mnakosa shughuli za kufanya,unamlazimisha mwanamke azae?
'
Hivi wanawake hawapo duniani?
'
Unatafuta msaada wa kisheria ili iweje?Kwanini? Na kwa mantiki ipi?
'
Acha utoto wewe!