She wants to Abort..!!!?

kk mimba iwe yako au sio yako unachotakiwa kwa sasa ni kutetea uhai in whatever way kwa kumconvice au hata kuchukua legal action ,ikikushinda kuna prolife activists waone watakusaidia,sijui kwanini mtu akitaja abortion moyo wangu hustuka sana,i hate abortion japo some girl wanasema ungekuwa mtt wa kike usingechukia kihivyo.sijui walimaanisha nini?
 

Uwezekano wa kumshitaki upo Mkuu sababu kuu 3
1. Sheria za nchi haziruhusu kutoa mimba-ni kosa la Jinai
2. Hakuna sheria au ni kinyume na ethics za madaktari kutoa mimba kama hakuna uthibitisho wa kutosha kuwa kuendelea kuwepo kwa mimba kunahatarisha maisha ya mama au kiumbe atakayezaliwa ana malformations ambazo hazitamwezesha kuishi. Pia kama kutoa mimba for medical reasons basi ni lazima jopo la madaktari wasiopungua watatu wakubaliane juu ya umuhimu wa kuitoa mimba hiyo.
3. Suala la Dini na mila -hakuna inayoruhusu kutoa mimba

ushauri
1. Kama unayo majibu ya pregnancy test is a good starting point utakapo amua kumshtaki huyo mdada -kama kielezo/ ushadi kuwa kweli alikuwa na mimba.

2. Fuatilia jina la daktari na hospitali/clinic atayoenda kutoa hiyo mimba-then daktari unaweza kumshtaki mahakamani au medical council of Tanganyika

Ila elewa huyo mdada si ridhiki, jipange sawa sawa
 
i can imagine unapita kwenye wakati gani!pole sana !lakini usibaki kulalamika,komaa onyesha msimamo,tetea uhai wa mtoto wako!
 
Maumivu ninayopata ni makubwa sana kuhusu suala hili. Mwenzangu kashikilia msimamo wake kwamba anatoa mimba na yupo radhi kufa ama kufungwa.
Nikimuuliza sbb haswa ni nn anadai kaamua hivyo coz hayupo tayari kubeba mimba kwa sasa.
Vyeti vya hosptl anavyo kwao mie kaniacha soremba nimemwambia kesho jioni tuonane kwanza hataki kabisaaaa.
Oooh My Lord save this innocent baby whom I am fighting not to be destroyed.
 

so sad! pambana
 
mungu atamhukumu awe makkini sana kwa sababu utaalamu wa kisayansi unaonesha kwamba wasichana wanaofanya abortion kuna uwezekano mkubwa wa kutopata mtoto pindi wanapohitaji ni bora akavumilia azae huyo mtoto
 
Abortion ni criminal offence, alipokuwa anakula pipi bila karatasi alitegemea nn?
 

Huyo mwanamke hakupendi. Na kwake uko accidentally tu. Ni malengo gan hajatimiza? Walio vyuo wanapata mimba na wanajifungua wanaish mtaani na watoto na masomo wanasoma halafu yeye anasemaje? Huyo n changudoa tu ambaye hataki responsibilties na wala hataki kuolewa na wewe. Akitoa hiyo mimba chapa lapa mkuu.
 
Naomba tena kuuliza ndugu zangu:
Kwa hapo eti nani mwenye hiyo mimba YEYE au MIMI??
Nani mwenye maamuzi na hiyo mimba yeye au mimi?

Naomba nijaribu kujibu maswali yako hivi:-
1. Mimba ni yenu wote, hamna mmiliki halali wa hiyo mimba. Sababu bila ya mbegu (shahawa) yai lake lisingekuwa mimba pekee.
2. Maamuzi ni yenu wote ila sababu ipo tumboni mwake ndio maana anaamua kukukomoa kwa kutaka kuitoa hiyo mimba ingawa si halali.
 
Updates..!

Wakuu najitokeza tena kwa mara ya pili.
Huyu mpenzi wangu baada ya kutoa mimba akaja kuniomba radhi in fact kwa kuwa nampenda sana nikamsamehe tukaendelea na uhusiano wetu.
Mwezi huu akawa anajisikia tumbo kuuma na ikapita siku tatu bila kuona MP nikamwambia nenda kapime urine majibu yakawa positive (ana mimba) nikamwambia kwa sasa itabidi tu uzae kwani muda ushafika na tumejipanga kuishi kama mke na mume.
Mwenzangu kawa mkali anadai anatoa hiyo mimba muda wa kuzaa bado.
Jana tumegombana sana mpaka kufikia yeye kuvunja vunja vyombo na anasema kama sitaki kuitoa hiyo mimba atafanya kama ile ya kwanza.
Nimemuuliza hv we mwanamke hujihurumii afya yako, hii ni mimba ya pili unaitoa ukiwa na mimi, je previous umetoa ngapi?
Ushauri wenu tena wakuu.
 

Duh! Nakupa pole. Wala sina la kusema zaidi.
 

achana na huyo mwanamke hakufai tena mwambie live akichoropoa tu kila mtu atafute ustaarabu wake
 
Mmeshapima ngoma?maana inawezekana ni victim na anajijua
 
Kayoka, kuna scenario kama mbili tatu hivi: mimi si palm reader, lakini nina hakina msichana huyu ni baa medi, au ni msichana anafanya kazi katika ofisi fulani anatumia ninihii yake kama duka. Mimba itaharibu duka lake, kwa hiyo njia ya kuokoa duka hilo ni kuitoa hiyo mimba.

pili, inawezekana si kama hivyo hapo juu. mimba ipo kweli, ila kaamua tu hakutaki. Kapata bwana bora kuliko wewe, kifedha, kiumri, kisura, au vinginevyo. Anataka ajipresent kule kwingine kama hana kitu tumboni.

Tatu, inawezekana kabisa mimba hakuna. yote hiyo fix tupu hapo. anataka umpatie hiyo laki moja mbili hivi akafanyie mambo anayoyajua yeye.

Mwisho. Scene one hadi three zinaelekeza uachane naye. Fanya chochote kile lakini malengo yawe ni hayo. Hakufai!


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…