Njia rahisi ni UJINYONGE.
Gracious yawezekana upo serious.... BUT Sometimes thread ikiwa kama hivi kunakua na uwalakini.... Wazazi wanajua mna date na hawataki; Siku zote mtoto wazazi wa mtoto wa kike wakisha jua kuna kijana anamchanganya binti yao (hasa ambao ni wadini); huyo binti anaanza kua chini ya Ulinzi.... Ubavu wa kukufuata luch kila siku na kuja saa saba za usiku kwa binti unakua haupo.
Kwamba hao wazazi ni wagumu kiasi gani wote ni wakristo hawataki muoanae... Ni Wasabato Vs Catholics? Kwamba wewe umefanya/cheza nafasi gani kuonesha huyo binti unamtaka at all cost?
Kingine.... Kama mwanume mwenzio anakujua... na anajua kua una mwanamke wako; na wazi kabisa anataka mchukua hadi wewe uka note... naomba jiangalia mara mbili... Real men don't do that openly; Watafanya dhidi ya back yako lakini sio hadi wewe uwaone.... Please correct me if I am wrong.
After I started reading I thought it was an ode to your lady.
But it appears as if you have a problem. If indeed it is a problem then what you have is a good problem - two lovebirds who are smitten with each other.
It doesn't get any better than that.
Kingine.... Kama mwanume mwenzio anakujua... na anajua kua una mwanamke wako; na wazi kabisa anataka mchukua hadi wewe uka note... naomba jiangalia mara mbili... Real men don't do that openly; Watafanya dhidi ya back yako lakini sio hadi wewe uwaone.... Please correct me if I am wrong.
Sasa huyo real man atamchukuaje tu huyo mwanamke pasipo huyo mwanamke naye kutaka?
Au mwanamke hana usemi? Yeye akitakwa tu anachukuliwa? Kama si hivyo kwa nini mwanamke asiseme "hapana, sitaki. sitaki kwa sababu nina wangu tayari. nenda katafute mwingine na tafadhali achana na mimi"?
Au ni vigumu kwa mwanamke kusema hivyo?
My Irenerose
Ni mrefu lakini si mrefu sana,
Ni mwembamba lakini si mwembamba sana,
She is of medium Size,She is My Alizee of La Isla Bonita
Ni mweupe lakini si mweupe sana,
She is modal,She has cute eyes.
She has the beautiful figure that any reasonable man should get crazy on. My Cute gal, She is My Monalisa
Anapenda kulia anapokuwa na furaha.
Hapendi kukasirika,hata akichukia huwezi kuona
Ana tabasamu all the time,ukimwangalia utadhani anakuita.
Her eyes are damn cute,I love her dental formula,so arranged.
Oh My God,her lips attracts kissing always hua namfananisha na Angelina Jolie for her Lips
Nywele zake ndefu na natural,so amazing,Her Legs are so sexy,her waist so attractive.So good in game
Anapenda kusema Asante ninapomtendea kila jamb😵h My God,nikishukuru ananiambia Asante kwa kushukuru
Ni mwepesi wa kuomba msamaha pale anapokosea. Anapenda kunipa Pole hata nikichelewa kuamka asubuhi.
She is good to my friends and my family, everybody in my family loves her, she is so charming
She is a hard worker, She is a good adviser, BUT she is so Jealous
She cries much when I travel, she even follows me where i am ,Oh My God, She comes to my Office during Lunch time she says she cant afford to miss me.Anakuja kwangu hata saa saba usiku,kisa kanimisss.
Wanajamvi,Nifanyeje
- Wazazi wake hawataki nimuoe kwa sababu ya Utofauti wetu wa Madhehebu ingawa wote ni Wakristo.Hua analia sana kutokana na hili,ananifanya na mimi nitoe machozi.
- Anasumbuliwa sana na Other men wanting to take her away from me. Mnaniambiaje jamani,nikimwoa haitakuja kuwa mateso ya maisha kweli manake na mimi nina wivu naye.