Sijui kwanini hawapendi kutumia kiswahili kama anko MaguShe "looks"
Eti Kiswahili hakiko romanticSijui kwanini hawapendi kutumia kiswahili kama anko Magu
Huyo MTU ni kipande, maana sioni kiuno wala miguuMbona naona mtu mzima mimi..... tehteh
Anko magu mwenyewe kuna siku anatamani kuandika na kuongea ingilishiSijui kwanini hawapendi kutumia kiswahili kama anko Magu
Sijui kwa nini grammar imekuwa shida hivi siku hiziShe "looks"
itakuwa mlemavu huyu....Huyo MTU ni kipande, maana sioni kiuno wala miguu
Ni lini imewahi kuwa rahisi mkuu?Sijui kwa nini grammar imekuwa shida hivi siku hizi
Mama SamiaWho is she by the way?
Nimekuwa nikishuhudia grammar mbovu miaka hii ya karibuni ukilinganisha na miaka ya 2000 kurudi nyuma. Sijui shida ni niniNi lini imewahi kuwa rahisi mkuu?
Lugha imekuja na meli hiiNi lini imewahi kuwa rahisi mkuu?