[/QUOTE]miaka imepita si michache
kwenye juu ya kunipenda huwa hapendi kuwa muwazi sana,
ila mimi nampenda kweli.
nashindwa kuzielewa hisia zake moja kwa moja coz kuna siku hata yeye mwenyewe anaweza kunipigia simu.
na nimewahi pia kuonana nae, recently ila aligoma kabisa hata kubusiwa na mimi..
hapana mkuu what i feel is not an illusions..
its true feelings.
huwa ananiambia mara nyingi kuwa anamtu, na mwaka jana mwezi wa 8 aliniambia kuwa alikuwa kwenye mpango wakuolewa, ila nilipochunguza nikagundua kuwa alikuwa akinirusha roho tu..
katika story za kawaida aliwahi kujisahau na akaniambia kuwa hajawahi tena kufanya mapenzi na yeyote.(hili siliamini sana)
good question nadhani atakuja kulijibu mwenyewe...
Sent from my iPhone using JamiiForums
i am also open to this extent, lazima niseme tu ukweli hata kama unauma maana na mimi niliumia, na zaidi nikiongopa najiongezea dhambi za uongo wakati na zakuwaza ninazo hapo lazima nijipunguzie idadi ya dhambi kwa kuzidhibiti zingine kama za uongo.Yaliyopita si ndwele gangeni yajayo...bi dada poleh na maumivu ila nashauri chukua mume uyo ,ila pia uran kisa cha kumsaliti ur girl ni kipii,af unamjulisha kabisa kuwa uli;msaliti na chanzo ni yeye,km ukitenda hivo tena usimwambie.inauma
Mkuu naona umejibiwa jibiwa na watoto wa kike sasa ngoja tuje wanataaluma tukusaidie, kwanza moja acha ubwege haya maisha ya sasa hivi kulilia mtoto wa kike mmoja in the name of love sio dili, especially huyo ndio unategemea ajekua wife. majibu yote ya huyo dem umeyapata hapo ni dhahili huyo yupo 50% 50%, na kwa maisha ya sasa ya ndoa na hii miutandawazi unahitaji mwanamke ambae yuko 100% sure, hayo mapenzi ya shule achana nayo we mtu mzima angalia yupi mwanamke anaekufee, anaekupenda, tz bado idadi ya wanawake imezidi wanaume, sasa basi chukua uamuzi mgumu msahau huyo pretend kama aliishakufa and move on na maisha, hizo illusion weka pembezi, almost wote tulikua na madem shule na kwa sababu walikua wanatupenda sana na mapenzi ya kweli wanakusikiliza sasa unafikiri yale mapenzi ndio bado yatakuwepo hapo unajidanganya mkuu, i can feel you mkuu, yale yalikua mapenzi ya utotoni, baada ya kuzinguana na magumegume ya mtaani unafikiri sehemu ya kupata true love ni kule kwa zaman no boss nae ameishakua na amebadilka atakuzingua kama hao wengine wa kitaa so move on man
sasa ukitishiwa nyau na wewe ndo unaogopa???? wewe peleka barua moja kwa moja kwa wazazi wake hapo ndo utajua kama yuko tayari kuwa na wewe au lah
usikute anakutishia ili uharakishe mambo
she changed her username to moreenbaby...
Ahahahaaa nimekuelewa sana kwa ushauri
Dah...pole sana kijana wangu uran
Ila sasa kama mwanaume kwa hali ninavyoiona huyo binti hakutendei haki kabisa...mosi anajua unampenda ikisha anakurusha roho, pili hataki kuwa muwazi kwako kabisa, tatu ana kinyongo sana hasa ukizingatia suala la ww kuwa na mtoto na mwanamke mwingine....ukiangalia chanzo ni yeye na hukumpata mkiwa kwenye uhusiano maana alishakutangazia kwamba hakutaki tena
Bahati mbaya bado unampenda ila yeye inaonyesha hakupendi tena kiivyo ila ni gubu kukuona na mwananke mwingine...
Unahitaji kwanza kukubali kumwacha ww mwenyewe baada ya kumpa one last chance...ukimnga'ang'ania mtajaumizana kwen ndoa ili kulipizana.
Pili anatakiwa ajue kwamba ni bora asiseme amekuacha kama hana nguvu hizo za kuhimili kuachana maana hii inatokea kwa wengi kutikisa kibuyu..so kama anadanganya kuwa anaolewa mwache aendelee na ww endelea na maisha yako..
Tatu jaribu sana sana kurudia maisha yako japo ni ngumu ila bila.ivo ww ndo utaumia zaidi. Wanawake wengine wako ivo na hata wanaume...hawajuagi thamani ya mtu anayempenda hadi mtu huyo.aondoke au aweke ingizo jipya ..
Usiku mwema kwa saa za afrika mashariki na zanzibar.
naogopa kuanzisha ligi katika uwanja ... iran umejieleza vizur hongera bt kwa upande wangu can ya kuongea aacha ushauriwe ww m ctaki ushauri maaana nadhan itakuwa ligi tu hapa
naogopa kuanzisha ligi katika uwanja ... iran umejieleza vizur hongera bt kwa upande wangu can ya kuongea aacha ushauriwe ww m ctaki ushauri maaana nadhan itakuwa ligi tu hapa