Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,648
rogie.
nshafanya hivi three years ago, but nothing was made.
Its time ku move on kaka angu...........
rogie.
nshafanya hivi three years ago, but nothing was made.
huyo anataka kucheza na akili yako na kuona unaumia zaidi. Wake up, na usirudi nyuma. Ukiweza badili na namba kabisa tuone atakutafutia wapi.haaah.
what is this now? wakuu, can you see what is girl saying..
Nimepata message whatapp
" umedelete my namba haya bhana".
nadhani hii inatokana na maamuzi yangu niliyoyafanya jana.
pia naomba niwajibu wale wote waliokuwa na daught over our ages..
inshort sisi sio watoto wadogo hata kidogo
moreen is a big girl na kazi yake tu.
then mimi pia nimeanza kujitegemea muda mrefu sasa, handling my child on my own.
So maandishi au point za hapa zisiwape wrong definition about how old are we..
Tukirudi kwenye hayo maneno nikiyoquote hapo juu.
sijui hili mnalionaje wakuu.
Its like she didnt accept my action of letting her Go.
Naona hata nyie mnaona.
cc; sungura1980 amu, xfactor, Kaunga, Rich Pol EMT mwallu, Bantu lady miss neddy Chelea, anitha baby, Heaven on Earth, Kaizer Phenomenon Lady kidaganda, LifeHacker, Mwadunda, Dillish wa kwetu BADILI TABIA Rogie, Kilaza kichunafk gize Rapunzel wangewange, Tangopori Khantwe LORDVILLE Ukwaju kamusi(shukrani kwa mchango wako hapo juu..).
na wengine ambao sijawataja.
angalieni maamuzi ya moreen
nmeona thread imeisha nam namalizia hapa nimewaelewa wote sasa na swali kwa wote waliochangia humu je ni nani alaumiweeee kati yetuu:nod:
yeah!!! sure heaven
Ujue nimekusomaaaaaaa af naona kama hujui law of the jungle aseee!
Kwanini unakubali kuwa mickey toy kiasi hiki?
Hebu wachana na hii makitu!
Kulia Lia namna hii hakukutafsiri kama mwanaume mwenye kuweza kukabili changamoto za maisha.
Some of women like I,hii sio species ya mwanaume anayevutia!
Ukiingia kwenye mahusiano mengine na aina hii ya dispute handling utalia kila siku!
Sitaki kukwambia ulikuwa sahihi kutokuendelea na huyu bidada,wakati mwingine tunakutana na watu ili tuazime kama sio kubadili namna yetu ya kufikiri!
Aina hii ya majadiliano mliyoichagua inawatafsiri nyie ni watu wa aina gani!
Huyu si aina ya mwanamke anayekufaa
Hata nae we we si aina ya mwanaume unayemfaa
Enendeni mkajichanfanye na ulimwengu mkaipate mbavu zenu za pili!
The soooner the better,namaanisha kunyanyuka hapo ulipo!
Si nyakati zote wapenzi wetu wa kwanza huwa ni chaguo sahihi kuwa our life partners!
Hata kwenye interviews wanaulizaga una uzoefu wa miaka mingapi kwenye hii post unayoomba!
Sawa eeenh!?
Hey URAN be a man,umeshasema ukaeleweka,ushalia ukasikika sasa its time to stop this,funga mjadala huu kwa kutoandika tena,kuendelea kulialia ni kujidhalilisha bwana,'YOU DONT NEED TO CRY TO BE A MAN'.
snowhite, haya makitu nishatemana nayo
changamoto zamaisha napambana nazo ipasavyo.
Namshukuru Mungu kwa mafanikio niliyofikia mpaka sasa..
niko makini sana mkuu, handling yangu si yakidhaifu sana as u may think, huyu bibie nilimuhitaji sana. i was trying my level best to get her back,
ndiyo maana nikaamua kutumia njia hii pia
japokuwa si njia sahihi sana.
nashukuru pia kwa ushauri ulionipa.
Naweza pia kukupa sababu nyingine zilizofanya niweke hili swala public, ni baada ya kufanya mawasiliano ya muda mrefu, for nothing!! nikawiwa kuliweka public nikiamini hapa kuna mawazo mengi zaidi na ushauri wa kujenga,
nafurahi kwasababu pia nimejifunza mengi na kupata experience kutoka kwa watu wengine.
xfactor na wengine mawazo yao n ya msingi sana.
Sidhani kama nimekosea sana kuandika hili swala hapa jukwaani.
then kwani kujionyesha mtu ulivyo ni dhambi?
mmmh! makubwa, kwa maandishi ya jf tu unaona jamaa anampendaa!!! moreen baby endelea na msimamo wako huo huo. hata mimi jitu lipotee halafu litake kurudi siwezi kukubali. mahusiano yao hayakupangwa na wasilazimishe.wanawake wengine mikosi kweli, yaani mtu unapendwa hivi halafu unachezea bahati? kweli penye miti hapana wajenzi..
Hahahaa. Hawa marafiki wa kike mara mwisho kuonana nao ilikuwa tulipoagana asubuhi wao wakielekea shopping, sie tukielekea kibandaumiza tayari kucheki ngoma ya Man City na Southampton.
Mpaka usiku ndo tumemaliza kuangalia mechi ya Chelsea na Stoke, so tumeptia hapa kona bar kupata moja baridi kabla ya kuelekea kunako.
Sasa ukiangalia hapo washkaji siwezi watumia salamu as nilikuwa nao tokea moning kama unavyowaona akina Ntuzu, Katavi, Mentor, Mbu na wengine hapo kwenye picha tuliyotuma twita.
![]()
asanteni kwa mawazo yenu
mapenzi ni kumpataa anayekupenda na www ukampenda ila maisha ya wasi wasi katika mapenzi ni hatari sana