shauri yako

shauri yako

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
578357_356430924437626_1037647223_n.jpg
 
Mijitu ni mivivu hiii, yaani hapo utalima Shamba Zima peke yako mwenzio hakusaidii hata kukung'uta majani Tu. Waxuri usoni Tu hao
 
duh! ilo nalo neno,hata apo alipolala kwenyewe hana msaada...kama gunia2
 
Mijitu ni mivivu hiii, yaani hapo utalima Shamba Zima peke yako mwenzio hakusaidii hata kukung'uta majani Tu. Waxuri usoni Tu hao
Muda mwingine wanaficha na sura zao wanakuachia shamba na mipaka yake yote.
 
Back
Top Bottom