Du hii kali. Nasikia hii adhabu ipo sana maeneo ya pwani! Huku kwetu ukitembea na mke wa mtu adhabu yake ni kifo tu. Wengine hata wakipewa adhabu hiyo wataendelea tu kumega wake za watu kwa sababu mashine inafanya kazi kama kawa!