mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Unapokwenda kwenye karamu au mahali popote penye heshima na ukawa umevaa shati safi jeupe, lakini kwa namna fulani shati hilo likapata doa la mchuzi ulioungwa vilivyo - dosari hio katika shati lako japo ni ndogo itafanya shati hilo LISIFAE KABISA kuvaliwa kwenye sehemu unayokwenda. Kwa hakika shati lenye dosari kama hio linakuwa HALIFAI na ni la kuachana nalo - japo 99% ya sehemu ya shati inaweza kuwa safi. Ni shati la kutupwa kabisa. Naamini kila mwenye akili amenielewa!