Sharts kwa sendoff na beg part

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
Wadau,

Pendeni cha nyumbani ile style ya kunyuka suit na tai kwenye Sendoff kwa sasa haipo tena.

Sasa ni mwendo wa kwachukwachu aka bazee na linen zilizodariziwa kwa rangi zinazoendana na shughuli husika.

Kwa bei nafuu sana 0714812375 Sinza Kumekucha
 

Attachments

  • 1440048788190.jpg
    60 KB · Views: 1,103
  • 1440048815597.jpg
    98.6 KB · Views: 695
  • 1440048852387.jpg
    100.3 KB · Views: 594
  • 1440048874986.jpg
    49.7 KB · Views: 827
  • 1440048893189.jpg
    74.2 KB · Views: 637
Shati bei gani?
Gauni la mtoto je?
 
45000 linen na bazee white bt other colours 40,000 only kila kitu kwangu..wewe ni kuchagua rangi ya shati ua na rangi ya kudarizi tuu...bhaaas
 


Umeharibu hii mtaani kwetu waweza kupigwa mawe bure watu wana hasira sana.Juzi mitaa ya stand walipita wanaCCM na sare zao wakazomewa ikabidi defender ya polisi iwaokoe haraka.Hapo walikuwa kikundi kikubwa sasa itokee ukutwe mwenyewe sijui utalia na nani.
 
gauni fupi ya mtu mzima ni 50,000 & 55000
 
couple kama hii kwa shilingi 100,000 tuu unapata shirt na guani 0714812375
 

Attachments

  • 1440076561935.jpg
    84.3 KB · Views: 422
kwa nguo za maids wakike na kiume..0714812375.. unafuatwa ulipo ndai ya dar es salaam ni kwa bei nafuu sana..50,000 kwa nguo za maids wanawake kila kitu kwangu na kiume mashati ya kudarizi 40,000 kila kitu kwa wewe ni vipimo tuu.
 

Attachments

  • 1441020261666.jpg
    104.2 KB · Views: 510
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…