Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
Nauza printer aina ya Sharp model 286 Digital used ya Ulaya.
Hii ni colour printer ya laserjet yenye ngazi nne, ina uwezo wa kuprinti karatasi 28 za A4 kwa dakika na inaprint size za A 5, B 5, A 4 na A3.
Bei ni shilingi milioni 2.5, mwenye kuhitaji anijulishe kwa PM.
Bei ni milioni 2.5