Sharp aquos R2

Sharp aquos R2

X-men

Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
64
Reaction score
52
Habarin wakuu naomba kujua juu ya hii simu ubora wake na bei yake kwa hapa tz natanguliza xhukuran[emoji120][emoji120][emoji120]
 
hizi ni simu za kupitezea muda wakati unajipanga kwa simu ya maana,na kama sio mtumiaji wa nguvu wa simu utakaa humo.

ni itel tu kwa shati jingine.
 
hizi ni simu za kupitezea muda wakati unajipanga kwa simu ya maana,na kama sio mtumiaji wa nguvu wa simu utakaa humo.

ni itel tu kwa shati jingine.
Mkuu sharp hawa hawa niwajuao au sharp ya kawe maybe
 
Kwa itel na hii sharp mkuu hata kama cjui sim itel bado xana
sharp-aquos-r2-4.jpg
 
hizi ni simu za kupitezea muda wakati unajipanga kwa simu ya maana,na kama sio mtumiaji wa nguvu wa simu utakaa humo.

ni itel tu kwa shati jingine.
Wewee hiv sharp aqous unailinganishaje na itel!??
 
Back
Top Bottom