Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,541 Reaction score 7,372 Mar 15, 2011 #1 Sharobaro baada ya kupiga foleni kwa siku mbili akafika kwa babu, kapewa kikombe cha uzima anywe, akawa kakishika tu...agh babu akamwambia vp mbona hunywi, sharobaro likajibu...''yoooh mamen, mrija upo wapi..??
Sharobaro baada ya kupiga foleni kwa siku mbili akafika kwa babu, kapewa kikombe cha uzima anywe, akawa kakishika tu...agh babu akamwambia vp mbona hunywi, sharobaro likajibu...''yoooh mamen, mrija upo wapi..??
egbert44 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2006 Posts 382 Reaction score 59 Mar 15, 2011 #2 Teh teh teh teh Sharobaro mikosi sasa ikaweje akamwaga? ebu malizia stori