Habari nilizozipata hivi sasa wandugu zimenishtua sana. Zinasema kuwa msanii maarufu wa maigizo Sharo millionea mzee wa swagga, umebugi men, AMEFARIKI DUNIA kwa ajari ya gari usiku huu huko Muheza Tanga. Naandika thread hii na tangazo lake la Airtel linapita. Innalillahi wainnailayhi r- aajiun. Tumepoteza jembe lingine baada ya Stephen Kanumba
Source: Channel 5