your not normal..
That is to say your mental unfit[
kuna watu humu wanakera sana,una haja gani ya kuanza kumzodoa marehemu, foolish grow up mchaka mchaka
Upumbavu kivipi mh Remote ? Kutoa Habari kama hii kuwajulisha watanzania wasiokuwa na access na local tv za bongo ni Upumbavu? Haya Mwelevu ebu tupe uelevu wako...
nakupa ushauri mzuri, ili uwe mtu wa kumtegemea mungu ili ukifa hata ghafla uurithi ufalme wake unaniona sina akili, haya endelea kunywa wanzuki, kufanya zinaa, kusema uwongo. etc halafu mwisho wa siku tutaona kama uko MENTAL FIT. you should know that we are walking with death! Tumeshasema R.I.P sana mpaka lishakuwa neno la kwaida. Haya endelea kuniuona mm ni kichaa!