King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,555
- 94,267
Kamanda wa Polisimkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharobaro, baada ya kupata ajali katika kijiji cha Lusanga, Muheza ambapo pia ndio nyumbani kwao. Sasa naweza kusema R.I.P Sharomilonea.
Kamanda wa polisi mkoa wa Tanga kathibitisha - kutoka Clouds radio
Picha za gara aliyopata nayo ajali Marehem Hussein a.k.a Sharo millionea.
nami nimeiona hii habari channel ten ............RIP sharo!!!Kuna habari zinasema mchekeshaji sharo millionea kafariki dunia kwa ajali ya gari huko Muheza, Tanga.
(Habari hazijathibitishwa)
SOURCE; Chanel ten.
Kama ni kweli mbona Ohoo mamaaaa!!!
Kwa ajali ya gari tanga
Nimesikia mtaani wanaongea
Huyo ndie nani tena!! ni huyo wanamuita bob junior au yupi tena, samahani mkuu utu uzima huu!!!