Sharo MILIONEA apata AJALI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sharo MILIONEA apata AJALI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Jan 5, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  [h=2] Sharo MILIONEA apata AJALI[/h] Posted: 5th January 2012 by MillardAyo in Uncategorized
  3
  [​IMG]Sharo Milionea

  Msanii/Muigizaji/Mchekeshaji SHARO MILIONEA amepata ajali mbaya ya bus leo saa mbili na nusu Asubuh Mikese, Morogoro.
  bus hilo la TAQWA likitokea BURUNDI kuja DAR ES SALAAM, limepinduka mara kadhaa wakati likilikwepa lori lililokua linajaribu kulipita lori jingine bila, yani lilikua linaOVERTAKE bila kujua kulikua na bus linakuja.
  Sharo MILIONEA alikua amekaa kwenye siti ya mbele kabisa kwa hiyo aliiona ajali yote, japo anasema hana uhakika kama kuna yoyote amepoteza maisha, abiria wengi wameumia vichwani, miguuni na mikononi, majeraha ambayo wameyapata kutokana na vioo kupasuka na misuguano mingine wakati gari linapinduka.
  baada ya ajali, imebidi abiria wengine waishie Morogoro kwa ajili ya kupata matibabu, lakini SHARO MILIONEA na wengine, wameendelea na safari na sasa wako njiani wanakuja DAR ES SALAAM, ambapo abiria wengi wamepoteza mizigo, na Sharo kapoteza simu tu.
  kwa sasa Sharo anaendelea vizuri japo sio sana kwa sababu anasikia maumivu mwilini, na akifika DAR atakwenda Hospitali kuchek.
  download (22).jpg
   
 2. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  pole meen pole yap pole meeen ungepanda pipa meen
   
 3. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Pole sana
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Du pole sana men uskonde utapona men vp shilole kakupia cm ya pole men pole sana men
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  pole yake. sasa hivi ajali zimekuwa nyingi

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Mia
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG]
  mia
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hii nayo ajali au umeamua kumuuzisha jamaa nyago
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  we angalia hata taarifa yenyewe imekuja kwa njia ya kumuuuza jamaa...
   
 9. N

  Njingo Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoia nikae mbele niwai shoo men.si unajua yaani oooh mama.ajali hainakinga rudi tanga kapumue men au kama vipi parisi.kwaiyo men plasta umebandika ileile au zimeongezeka.pole sana baab.pole baab.
   
 10. N

  Njingo Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoia nikae mbele niwai shoo men.si unajua yaani oooh mama.ajali hainakinga rudi tanga kapumue men au kama vipi parisi.kwaiyo men plasta umebandika ileile au zimeongezeka.pole sana baab.pole baab.
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Muundo wa aina hii wa bus hili unajulikana vipi kitaalamu? na una faida na hasara gani?
   
 12. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  pona haraka njoo nioe jamani au niambie nije mm nikuoe jamani ..........i love uuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  index.jpg
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Duh kumbe ni basi zima (including other abiria) nilidhani alilikodisha hilo basi peke yake!!!! Haya poleni wote
   
 14. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kaumia mai love wangu jamani na hapa ndio tulikua tunamuaga ili afanye iyo safari yake jamani loh! mie huyo niliyekumbatiwa hapo ........uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii i love uuuuuuuuuuuuuuuu
  index6.jpg
   
 15. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hua anabadilishaga kila siku ww vipi..............
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,669
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  I like this Sharo Milionea guy.

  Ila hizi ajali hizi....haya ngoja nibaki nayo moyoni tu yale nnayotaka kusema!
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Majeruhi wote nawapa pole Mungu akapate kuwaponya warudi kwenye harakati zakuikomboa nchi yetu
   
 18. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  acha kunichafulia mume mtarajiwa jina ww....................i love u meeeeeeeeeeen kwanza nipen contact zake nitupe nanga
  imagesq.jpg
   
 19. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  asante kuni laikia sharo wangu ................vp mkuu una contact zake unipe nimsomeshe mistar inaweza kua bahati yangu who knowz
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,669
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Umemzimikia kihivyo?
   
Loading...