Sharobaro kaenda Loliondo si akapewa kikombe cha maji ya uzima na babu, akasogea chini ya mti kwa muda bila kunywa huku kashikilia suruali yake isianguke! mchungaji akamuuliza vipi mbona hunywi dawa? Sharo akajibu, NASUBIRI MRIJA MEEEN! Duh atapona kweli?
Ndo yaleyale ya G.MBOTO sharobaro alilipuliwa na BOMU coz aliambiwa apande ROLI kasema "NTACHAFUKA MEN"
Haya ning'inia kwenye DALADALA " NASUBIRI TAX MEN".
Ndo yaleyale ya G.MBOTO sharobaro alilipuliwa na BOMU coz aliambiwa apande ROLI kasema "NTACHAFUKA MEN"
Haya ning'inia kwenye DALADALA " NASUBIRI TAX MEN".