Shark & Madame B hawa hapa!!

OMG!!
OMG!!
OMG!!
Chimbuvu my Dear,
Arushaone my Dear,
tedo my Dear and
Chilli my Dear.
Jamani njooni mumuone Mwizi wenu 'Live'.
Asalaleeee!!!
Shark, hakika kifo kinakunyemelea.

Nimefika mahabuba, hakika huyu sijui Chekibudi sijui Shaggy atakoma mwaka huu, amegusa pasipogusika. Na kwa taarifa yake, mkongoman Chimbuvu yupo na kati ya Kivu kusini, nimeongea nae na amesema atamaliza kazi huko huko. Utakomaje tu Shark?
 
Last edited by a moderator:

Ndiyo shemeji yako huyu Mzee wa Rula.
Hapo tulikua bustani flani hivi tulivu tukijiandaa ku......

we shark wewe!Chimbuvu unamjua au unamsikia?kumbe na wewe upo kwenye mtandao,utaendewa congo halafu utajijua shauri yako!yetu macho tu
 
heheeeee!mke mwenzangu huyoooo!nimekumis sana bora nimekuona
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nimefika mahabuba, hakika huyu sijui Chekibudi sijui Shaggy atakoma mwaka huu, amegusa pasipogusika. Na kwa taarifa yake, mkongoman Chimbuvu yupo na kati ya Kivu kusini, nimeongea nae na amesema atamaliza kazi huko huko. Utakomaje tu Shark?
Hasira za nini wewe kaka?
Hasira za nini wewe kaka?
Wata kuniua bure kaka!!
Wewe una wako nyumbani, na mimi nina wangu nyumbani,
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe?
nasema, sina makosa we kaka!!
 
inaonyesha kama muda wa mchana vile... ule muda wa lunch.... tehteh teh
 
Mtu anajaribu kuwasha moto wa gesi alafu anauzima na maji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…