Sharing one adsense account for several sites

miamiatz

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
505
Reaction score
941
Kwakuwa kupata adsense account inazidi kuwa na milolongo mingi kuna wakati inalazimu watu kutumia adsense account moja kila mmoja anaweka adcodes kwenye site yake.

Ukiingia kwenye adsense account unakuta kuna charts zinaonesha dola ngapi zinatoka kwenye site ipi.

Clicks ngapi zinatoka kwenye site ipi. Pageviews ngapi zinatoka kwenye site ipi.

Sasa balaa linakujaga pale ambapo mmoja kachagua niche yenye cpc kubwa na mwingine akachagua niche yenye cpc ndogo kwaiyo mmoja anapata mapato makubwa mmoja anapata madogo.

Ubinafsi unaanza na hatimae kuoneana choyo. #KukuzaMaarifa #KuongezaUstawi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…