Wana jamvi nimekuwa nikifuatilia soka letu hapa bongo, na kuona ni wakati sasa BMT iitake TFF kuingiza kifungu cha Kudhibiti Mapato ya kutoka nje ya Club, kwa lugha nyingine ikiitwa Financial Fair Play. Hali hii inatokana na kufuatilia mwenendo wa ligi yetu sasa VPL ambapo zimeonekana timu kubwa kama vile Simba, Azam na hata Yanga zikiingiza fedha nyingi kutoka kwa wadau wake huku timu nyingine nyingi zaidi ya 80% zikihaha kiuendeshaji.
Mifano mizuri kama hiyo tumeiona ktk nchi zinazohitaji fair play ikiwemo ligi ya Uingereza na kwingine.
Hivyobasi sio tu kwa kufanya hivyo tutaweza kuimarisha fairness ya soka, pia kutawezesha kupata wawakilishi bora wa soka ndani na nje ya nchi