mkuu nimekusoma sana apo kwenye fiber je vipi kuhusu internet km superkasi ya voda 20Mbps kwa 115000 je watumiqji wakiwq 10 itashuka na vipi kuhusu zile fiber wanaweka range let say 10 to 20 Mbps or 20 to 60 MbsMtu anaposema shared up to 10mbps ina maana utapata speed hio ila kukiwa na watumiaji wengi itashuka.
Mfano mtaani kwenu waya uliokuja ni 1gbps na mpo wateja 10 wa 10mbps hapa wote mtapata 10mbps ila kama mpo 1000 wa 10mbps matumizi yakiwa mengi utaona inashuka inakuja 5 ama hata 2mbps.
Dedicated yenyewe ni uhakika hakuna External factor hapa, kama ni 10mbps utaipata hio hio.
Sema Fiber kibongobongo watumiaji wachache hata kama ni shared ngumu kukuta speed inashuka sana.
User wa router ni shared hata kama ni dedicated. Kampuni inahusika kuhakikisha internet mpaka inapofika inakuwa na speed waliyo promise, matumizi yenu yote ya ndani ni shared. Kama ni 10mbps na user wawili wanatumia sawa sawa kila mmoja atapata 5mbps.mkuu nimekusoma sana apo kwenye fiber je vipi kuhusu internet km superkasi ya voda 20Mbps kwa 115000 je watumiqji wakiwq 10 itashuka na vipi kuhusu zile fiber wanaweka range let say 10 to 20 Mbps or 20 to 60 Mbs
na kuhusu idadi ya watumiaji it means hata wale mnaotumia routers mijq kupata internet wanachukuliwa km users
Asante sana mkuu naendelea kupata shule lkn swali la mwisho ni hili mbona hapa ofisin tunatumia zuku fiber ya 69000 speed ni 10mbps lkn ajabu ni kwamba watumiaji tupo wengi km 10 hv na kilq nikiingia fast.com speed ni ile ile 1mbps kwq kila kifaa kiasi mpaka nikahisi huenda huenda zuku ni dedicated nikaleta uzi humu nikaumbuliwa na mdau mmoja nikagundua kuna kitu sijui hapa nikajifunzeUser wa router ni shared hata kama ni dedicated. Kampuni inahusika kuhakikisha internet mpaka inapofika inakuwa na speed waliyo promise, matumizi yenu yote ya ndani ni shared. Kama ni 10mbps na user wawili wanatumia sawa sawa kila mmoja atapata 5mbps.
Supa kasi pia ni shared, ukienda kwenye website ya Voda wameandika up to.
Mkuu kwanza Zuku wana offer ya ku double speed pengine mna speed zaidi ya 10mbps. Tafuta muda ukiwa mwenyewe kama jioni ama asububi hivi kupata uhakika wa speed.asante sana mkuu naendelea kupata shule lkn swali la mwisho ni hili mbona hapa ofisin tunatumia zuku fiber ya 69000 speed ni 10mbps lkn ajabu ni kwamba watumiaji tupo wengi km 10 hv na kilq nikiingia fast.com speed ni ile ile 1mbps kwq kila kifaa kiasi mpaka nikahisi huenda huenda zuku ni dedicated nikaleta uzi humu nikaumbuliwa na mdau mmoja nikagundua kuna kitu sijui hapa nikajifunze
au unaposema watumiaji wawil whqt the meaning maana unakuta huyu upo youtube yule whatsapp yule tiktok na ukiingia fast.com spews ni ile ile 10mbps
mkuu nisaidie hapo inakaaje iloUser wa router ni shared hata kama ni dedicated. Kampuni inahusika kuhakikisha internet mpaka inapofika inakuwa na speed waliyo promise, matumizi yenu yote ya ndani ni shared. Kama ni 10mbps na user wawili wanatumia sawa sawa kila mmoja atapata 5mbps.
Supa kasi pia ni shared, ukienda kwenye website ya Voda wameandika up to.
Internet za waya ni gharama sana kusambaza.Nimejifunza kitu. ila nina swali kwenu wakuu je wa huku mikoani mbona hizi huduma sizioni kabisa. mpaka leo kuna makampuni fulani bado wanaunga bando za line.. ni kwamba watoa huduma huku mikoani wamepatelekeza
mkuu nisaidie hapo inakaaje ilo