Upo Iringa kikazi, masomo au biashara na unatafuta sehemu ya kukaa ambayo si hoteli. Basi njoo upate chumba kizuri na sehemu ya kupika. Tunapokea wageni wanaotaka kukaa kuanzia wiki moja na kuendelea. Nyumba ipo sehemu yenye utulivu(wilolesi) na imezungushiwa fensi na sehemu ya parking ya gari ipo. Kwa mawasiliano zaidi WhatsApp/call 0746060181. Tshs 15,000 kwa usiku mmoja.