M mfocbsjut JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 475 Reaction score 253 Dec 26, 2022 #61 mikumiyetu said: Ninyi wa voda uwa mnaunga vifurushi gani Click to expand... Vya kawaida mkuu
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,062 Reaction score 993 Mar 28, 2023 #62 Baada ya kupokea sasisho la 16.4 nimeamua kufanya Speedtest 4G vs 5G kwa kutumia mtandao wa Vodacom. Tunaelekea pazuri sana tukipata vifurushi vizuri hii nchi itakuwa raha sana. Baadaye nita test net ya Tigo 5G maana 4G+ yao hatari pia.
Baada ya kupokea sasisho la 16.4 nimeamua kufanya Speedtest 4G vs 5G kwa kutumia mtandao wa Vodacom. Tunaelekea pazuri sana tukipata vifurushi vizuri hii nchi itakuwa raha sana. Baadaye nita test net ya Tigo 5G maana 4G+ yao hatari pia.