
wapi hii na ni mtandao gani huu
Dah Ukiwa marekani raha sana
View attachment 1264416
Kihalotel ovyo sanaView attachment 1267563
Mb 43 kwa sekunde unasema hovyo?
ya kawaida mbona
View attachment 1267670
Voda na Halotel wanakupeleka hadi 46± mbpsKwa huko huku hata mb30 sijawahi gonga

Voda na Halotel wanakupeleka hadi 46± mbps
hapo ipo down, juzi ilikua 217MBpsKwa huko huku hata mb30 sijawahi gonga
hapo ipo down, juzi ilikua 217MBps
asee ni dakika kadhaa tuu kama mziki yaniMzigo wa gb 1 hapo kushusha ni within dkk 4-6 tu.