mkuu unamaanisha siwezi kuichukua moja kwa moja kwenye mtandao then nika share!
nimejaribu kudownload kwenye laptop nikaihamishia kwenye simu imegoma kufunguka achilia mbali kushare!
nimejaribu kudownload kwenye laptop nikaihamishia kwenye simu imegoma kufunguka achilia mbali kushare!
nimedownload video toka kwenye youtube na ndo ipo kwenye simu!
habari!
nawezaje ku-share picha au video toka youtube kwenda whatsapp? msaada tafadhari!
Rudia kusoma maswali yangu mawili hapo juu ili upate msaada stahili.