1 opera ni nzuri....ila kwenye downloadn.....inakata kama unatumia app nyingne ....
2 chrom n. tam sana lakn kwa low network ni shida kweli.....naitumia kichukua tu apps....
3 baidu browser n nzur...ina mambo meng....lkn ni tatizo la kuchelewa kufunguka........
4 uc niliipenda sana kwenye java.....lakn huku...haisev bookmaks. ...ukisev inafutika....
kwa kuwa always nipo kwa 2g.......E.....
nimebak na opera.....na chrome tu..... ila kama ni ningekuwa pazur....I mean 3g always. .BAIDU IS MA BEST BROW......AND CHROME......