Share Coke, Dhihaka kwa Mwanaume

Unywe.....ukimaliza tuje hili la Tigo......kuwekana kwenye grp za whatsapp kiduanzi.......
noma sana..siku ya wapendao nimekuta wife anakunywa Coke baridi imeandikwa " ILove You"
 
Tangazo lazima liwe na Uhusiano na kinachotendeka ktk Jamii..
 
Unywe.....ukimaliza tuje hili la Tigo......kuwekana kwenye grp za whatsapp kiduanzi.......

Haaaaaahhhh.....

Ngoja nitafute Mwanasheria kama hawa hawana kesi ya Kujibu Kweli.
 
Mimi nlijua umenunua soda halafu imeandikwa Share a Coke with RAILA ,
 
Una uhakika wa kuwa sisi ni "Wanabodi" kama ulivyotuita?
 
Hamna tatizo apo wewe unamawazo ya mfumo dume.
 
wabongo tunajua kukosoa(wazee wakuponda), niwakosoaji wazuri yani kila mmoja ni mtaalam aliye bobea kwa asili, nadhani hii ndo sababu asilimia kubwa tunakua na uoga wa kuthubutu.
Mfano ukienda kwenye vijiwe vya kahawa, haijalishi mada itakua inahusu nini hapo sisi kaziyetu kuponda+chumvi kwa wingi then mtu anaonekana mjuaji watu wanaanza kumsikiliza kama mtuwabusara vile.
btw tumekua wanaume wakwanza ulimwenguni kugundua coca imetudhalilisha hongera zetu.
 
Wewe Mzee haya ya vijana yanakuhusu nini? Hivi mpaka sasa hivi hujajua kama vijana wa kileo ni midomo zege? "Anyways have nice lunch" kijana kamaliza hapo!
 
Wewe Mzee haya ya vijana yanakuhusu nini? Hivi mpaka sasa hivi hujajua kama vijana wa kileo ni midomo zege? "Anyways have nice lunch" kijana kamaliza hapo!

Akasaidiwa na Coke kufikisha hisia zake.

Kwanini sio mwanamke atumie Coke kufikisha Ujumbe kwakuwa wao ndio wanakuwa na aibu ktk kueleza hisia zao.

Hili ni Janga.
 
Wewe Mzee haya ya vijana yanakuhusu nini? Hivi mpaka sasa hivi hujajua kama vijana wa kileo ni midomo zege? "Anyways have nice lunch" kijana kamaliza hapo!

Hilo ni Janga.
 
umenikumbusha mashindano ya kombe la dunia mwaka 98 kama sikosei kulikuwa na mchezaji wa timu ya west afrika anaitwa mboo na uwanja mmojawapo uliokuwa ukitumika kwa mashindano hayo huko japan ukawa unaitwa kum...moto. Sasa gazeti moja la michezo hapa nchini likaja na kichwa cha habari mboo ndani ya kum...moto leo hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…