shanga!!!!!!!!

2my

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2010
Posts
287
Reaction score
7
Mchaga kapata mtoto wa Kipwani. Kwenda guest house, mwanamke kavua nguo!shanga tele! MCHAGA:Yesuu na maria!hisi rosari simeibiwa Parokia gani? oteee!!!!
 
mnh...................utaaani na diiiiini,tho nimecheka
 
hahaaaaaa! mate naona hapo unautani na(............)!!!!
 
wezake wanahesabu kwa ulimi hizo...tehe tehe tehe
 
2my ina maana hao jamaa hawajui zile nduduz au!!!!!:A S 13:
 
hivi kiuhalisia, hua zinasaidia nini hizi shanga?? Naskia wanasema zinaongeza ladha ya mapenzi, how????
 
hahahhahaaaaaaaaa:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Mchaga kapata mtoto wa Kipwani. Kwenda guest house, mwanamke kavua nguo!shanga tele! MCHAGA:Yesuu na maria!hisi rosari simeibiwa Parokia gani? oteee!!!!
so amaaazing!
 
Mchaga kapata mtoto wa Kipwani. Kwenda guest house, mwanamke kavua nguo!shanga tele! MCHAGA:Yesuu na maria!hisi rosari simeibiwa Parokia gani? oteee!!!!

Hehehehe huuuui Yesu na maria na yusufu na malaika!

Hapo kwa mchaga hamu zote zilimwisha, ikabaki hamu ya pesa, akaziuze fasta apate machuma. Hapo hata demu hamkumbuki tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…