Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Shamira alitembelea ofisi ya UVCCM Mkoa wa Shinyanga kufanya kikao kifupi cha ndani, na kukabidhi vifaa vya tehama ikiwemo kompyuta na printa kwa kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Shinyanga iliyopokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa huo Comrade Benard Benson Werema pamoja na wajumbe wengine ngazi ya mkoa na Wilaya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Rukwa: Shamira akabidhi Kamera kwa UVCCM, ahamasisha vijana kushiriki uandikishaji wa wapiga kura
Mshangama amekabidhi vifaa hivyo kwa kuirahishia UVCCM mkoa wa Shinyanga katika majukumu ya kutunza kumbukumbu za kazi za umoja wa Vijana.