The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,252
- 13,734
Unajuaje walimminya poumbou akiriTatizo hapa yeye alikiri makosa. Sawa wether it was coerced or otherwise but naamini mtu ambaye kweli ni msafi hawezi kukubali atawaambieni bora mniue lakini sio kukiri jambo ambalo hakufanya.